Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Napata Chanel 32 za video kama ifuatavyo
VOX AFRICA
BENIE TV
FRANCE 24fre
CANAL 3Monde
Espace Tv
France 24eng
BVN
DW
NEW HORN TV
TV CONGO
RODGUES 1 mbc
Rodgues 2 mbc3
Muvi Combo
Muvi Muviz
RTS 1
RTVGE
CRTV
RECORD MOCA
BOX africa
Muvi TV
Africa Unite
CCTV 4
AL MADINA
CCTV 9
BUSINESS 24
CCTV F
CCTV NEWS
OCCA AFRICA1
SAMANYOLU TV
NHK WORLD SD
AFRIQUE MEDIA TV
TV MONDE 5

Ndizo zinapatikana wadau

mkuu fafanua zaid unatumia kingamuzi gani
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Je naweza kuangalia Emmanuel TV kwa kutumia king'amuzi hiki cha Azam

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Napata Chanel 32 za video kama ifuatavyo
VOX AFRICA
BENIE TV
FRANCE 24fre
CANAL 3Monde
Espace Tv
France 24eng
BVN
DW
NEW HORN TV
TV CONGO
RODGUES 1 mbc
Rodgues 2 mbc3
Muvi Combo
Muvi Muviz
RTS 1
RTVGE
CRTV
RECORD MOCA
BOX africa
Muvi TV
Africa Unite
CCTV 4
AL MADINA
CCTV 9
BUSINESS 24
CCTV F
CCTV NEWS
OCCA AFRICA1
SAMANYOLU TV
NHK WORLD SD
AFRIQUE MEDIA TV
TV MONDE 5

Ndizo zinapatikana wadau

umetumia beam gani kupata,samayolu tv,na nhk world ya japani.? Embu tuanzie hapo kwanza kabla kabla watu hawajakula tango pori.?
 
mkuu fafanua zaid unatumia kingamuzi gani

baadi ya chanel alizo weka hazipati kani pale,nyingne ziko ses@5e na nyingne ziko intel@20e nakama una kamata zuku,basi uko nyuzi 5 bdo,na mwenye zuku anaweza kushika chanel 34 buree,bila kulipia naomba anambie ametumia beam gan kuzipata izo chanel wakat haziko apo.? Je amefunga ku mbili au na zaid.?
 
Je naweza kuangalia Emmanuel TV kwa kutumia king'amuzi hiki cha Azam

Sent from my iPhone using JamiiForums

kamashda yako ni chanel za dini,basi pale kwenye azam ziko nying sana,ambazo zatosha kukufanya uione pepo,unless huna shda na wokovu.
 
kamashda yako ni chanel za dini,basi pale kwenye azam ziko nying sana,ambazo zatosha kukufanya uione pepo,unless huna shda na wokovu.

My friend I am being specific here I have told you you Emmanuel TV inaonyeshwa najua channel za Dini ziko nyingi,I need that particular one for purely personal reasons

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
My friend I am being specific here I have told you you Emmanuel TV inaonyeshwa najua channel za Dini ziko nyingi,I need that particular one for purely personal reasons

Sent from my iPhone using JamiiForums

yes u can dear pal,bt do u've any idea on how to set up sat dish.?
 
yes u can dear pal,bt do u've any idea on how to set up sat dish.?

Thanks will handle that once I am done with everything on the ground

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu nipo job nikitoka ntaweka kila kitu wazi lnb ni moja tu hiyohiyo ya azam na receiver yao hapo kuna sat tatu zinapigwa kwa mpigo kuna degree 7 , kuna degree 68.5 na kuna degree 5. Nipo mwanza ndo napata hivyo. Nikirudi nyumbani nitawaambia kila sat na frequency zake ili mjaze alafu mtafute upya zijipange vizuri
 
Tutakushukuruje mkuu, nina shauku balaa.....
 
Wakuu nipo job nikitoka ntaweka kila kitu wazi lnb ni moja tu hiyohiyo ya azam na receiver yao hapo kuna sat tatu zinapigwa kwa mpigo kuna degree 7 , kuna degree 68.5 na kuna degree 5. Nipo mwanza ndo napata hivyo. Nikirudi nyumbani nitawaambia kila sat na frequency zake ili mjaze alafu mtafute upya zijipange vizuri

njia ulio tumia mwanzo uliwaingiza wenzio mkenge,sio kilamtu humu ni fundi na ndio mana nikakubana kiufundi zaidi,na majibu ukatoa ni vyema...

Nikweli kama usemavyo hapo kuna sat tatu zipo pamoja,apounapo ipata azam tv,inakubid dish lako lishuke chini kidogo sana ambapo ni nyuzi tano ses@5 e, ambapo utaipata pakage ya zuku pia+azam+ku 7/10@68.5e ndio unapata izo chanel zote kwa pamoja,ktk io decoda ya azam,
maswali zaidi.

Note. Kufanya ivi inaweza pelekea sat moja ukapata signal weak kidogo kama dish lako ni dogo.
 
Hatuitaji maelezo nusu nusu humu ndani,sio wote mafundi,kama unataka kupata pakage ya zuku,azam na madagasca,fata maelezo apo juu.
 
Napata Chanel 32 za video kama ifuatavyo
VOX AFRICA
BENIE TV
FRANCE 24fre
CANAL 3Monde
Espace Tv
France 24eng
BVN
DW
NEW HORN TV
TV CONGO
RODGUES 1 mbc
Rodgues 2 mbc3
Muvi Combo
Muvi Muviz
RTS 1
RTVGE
CRTV
RECORD MOCA
BOX africa
Muvi TV
Africa Unite
CCTV 4
AL MADINA
CCTV 9
BUSINESS 24
CCTV F
CCTV NEWS
OCCA AFRICA1
SAMANYOLU TV
NHK WORLD SD
AFRIQUE MEDIA TV
TV MONDE 5

Ndizo zinapatikana wadau

kwa kutumia frequance zip mkuu?
 
Back
Top Bottom