Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

kuna mjinga mmoja ameenda kwenye ukurasa wao wa fb katoa siri zote zinazo fanyika huku jf,ilo limtu limetokea huku huku,mi mtu mingne sijui ikojeee,haiwezi kuficha siri kabisa.

Hahaha! Hilo jitu nililiona pia. Ila bahati nzuri kumbe hawajafuta
 
kuna mjinga mmoja ameenda kwenye ukurasa wao wa fb katoa siri zote zinazo fanyika huku jf,ilo limtu limetokea huku huku,mi mtu mingne sijui ikojeee,haiwezi kuficha siri kabisa.

Kuna watu bana hum dunian wameumbwa na kiroho cha umbea na kufitinisha watu,sasa huyo mpuuzi kilichompeleka kule ni nin hasa usikute hata king'amuz chenyewe hana ila kihere here tu
 
wakuu msiogope hata wao azam wanasuport watu kuadd channel kuna siku niliona kwenye page yao wakiwambia watu waangalia epl kwenye mb3
 
Hata mimi ilikuwa hivyo hivyo nimejaribu kurestore lakini wapi.Nimempigia jamaa mmoja akaniambia kuna vitu wamerekebisha ofisini kwao.Ila kama unaweza kuinstall upya inakubali tu

Wachina noma, tayari wameanza kuwachakachua azam maana ktk pitapita yangu nimekutana na hiyo kitu mpya azam ndani nadhani ndio maana nao wameanza upgrade za mara kwa mara
 
Kutoka kwenye page ya fb ya Azam TV wameandika hivi kama inavyosomeka hapa chini, kumbe kuongeza sate sio kosa wanajamvi wenye utaalam na hii elimu ya Sate endeleeni na moyo huo huo wa kushare mlichonacho.-- Ph-25

""Wadau,

Tunawaletea software mpya kwenye visimbuzi vyenu vya Azam TV, makubwa utakayopata ni kama ifuatavyo;

• Ongezeko la listi za chaneli;

(Haimaanishi tumeongeza chanel mpya,la hasha ila tumebadilisha mpangilio wa chaneli)
Hapo utaona kuna list kadhaa utakazopata kwa kubonyeza OK na kisha kubonyeza kitufe cha mshale wa kushoto au kulia ili kwenda kwenye chaneli mbalimbali.
List ya kwanza itakuwa na chaneli za package ya Azam,
na ya pili ni (Other TV Channels) itakupatia list ya chaneli nyinginezo ulizoweka kwenye kisimbuzi chako.

Kwa hiyo basi, ukiongeza satellite mpya na kuweka frequency zake kwenye kisimbuzi chako, chaneli zake zitakuwa kwenye list ya pili ya Other TV Channels.

• Kupangilia chaneli kwenye mpangilio unaotaka wewe.

Sasa mdau utaweza kubadilisha nafasi ya chaneli unazozipenda(Favourite) kwenye list kama unavyotaka wewe. Hii itakupa nafasi ya kuweka mwanzo zile chaneli unazozipenda na kuziangalia kwa wingi kuliko nyingine kuliko kuanza kuitafuta kwa kubonyeza mshale wa kushusha.
Kama unapenda chaneli yoyote ianze juu kabisa kwenye list yako, nenda kwenye menu ubadilishe mpangilio wa chaneli zako kutokana na maelezo yatakayowiana na remoti yako ufatishe maelekezo kwa kutumia rimoti yako.

• Uwezo wa kuweka au kuondoa subtitle kwenye chaneli.

Sasa unaweza kuondoa au kuongeza subtitle(Tafsiri) kwenye chaneli ambazo zina subtitle.
(Tafadhali kumbuka, kuna baadhi ya chaneli tayari zina substitle zimewekwa ambazo hazitaweza kutolewa.)Chaneli ya Colors imetengwa subtitle kwa maana unaweza kuangalia na subtitle ama laa.

• Ongezeko la format za video zinazoweza kuchezwa kwenye kisimbuzi. Sasa unaweza kuweka USB flash yako na kuona filamu zilizo kwenye format mbalimbali.

Chakufanya:

Kama unaangalia Azam TV, Zima kisha washa, utapokea ujumbe,bonyeza ok.mwanzo itakuambia failed,usijali,itaendelea yenyewe ndani ya sekunde hiyo hiyo,iache iji update mpaka imalize,itachukua muda wa mpaka Dakika 5,ila inaweza kuwa chini ya hapo.

Kama Azam TV yako imezimwa,ukiwasha itakupa utaratibu huo huo, Tafadhali usizime Dekoda yako wakati zoezi hilo linaendelea,unaweza kuzima ikimaliza ku update.

Hii ni katika kuhakikisha tunawaletea ubora zaidi kila kukicha.

Usisite kuuliza pale popote utakapokwama, Tuko kwa ajili yako.

Azam TV Burudani kwa wote
 
tatizo la yule admin hatoi taarifa kwa wakat,watu wameshaona mabadiliko tayar yeye ndo analeta taarifa.? Mbona ela ikiisha wanakua panctual kutoa taarifa.? Wendawazimu wale.
 
Inawezekana hata yeye alikua hajui hivyo anategemea apewe taarifa ndio nae azitoe maake hawez kuzitoa tu bila kupata "Go a head",kwenye hela lazima ahimize maake ndio kwenye muhimili wa kampuni
 
dah kumbe nimekosa uhondo.
nmepoteza mda na mabando kwenye majukwaa ya mipasho kumbe wa2 wanakula maujanja huku.
ntakuwa ckoc kuptia huku daily.
 
Haaahaaaaa eti majukwaa ya mipasho,Karibu sana mkuu,huku kuna elim ya bure kutoka kwa wataalam wa mambo wa Sate
 
Inawezekana hata yeye alikua hajui hivyo anategemea apewe taarifa ndio nae azitoe maake hawez kuzitoa tu bila kupata "Go a head",kwenye hela lazima ahimize maake ndio kwenye muhimili wa kampuni

mkuu yule admin nibonge la kanjanja,hamna kitu mle,anamtegemea jamaa mmoja anaitwa #mkali nae kanjanja tu,alikua anawafoc watu wajaze ma frqnc ya sat nyingne ktk kisimbuz cha azam,wote wakala mkambi hawajapata kitu,na jamaa mwingne yuko huko aliokota ma frqnce poli akayaleta huku,akasababisha kujirudia rudia kwa machanel ya azam,mafrqnce aliyatoa kule kule.
 
Note. Usipende kuokota okota ma frqnce poli akayaleta huku,make sure unauhakika nazo ilikuondoa matatizo ktk taaluma hii.
 
Tupe maujanja jins ya kupata radio c unajua wengine tuko maporin
 
Wakuu
Hicho King'amuzi Cha Azam Ukinunua Unaweza Kukifunga Mwenyewe Au Kuna Mafundi Watakufungia.
 
Kama una utaalam wa kufunga unaweza kufunga mwenyewe ila kama huna utaalam kama mm utaomba msaada watakupa namba za mafundi walio nao utaenda nae japo nauli utamgharimikia
 
Back
Top Bottom