Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Hata mimi ilikuwa hivyo hivyo nimejaribu kurestore lakini wapi.Nimempigia jamaa mmoja akaniambia kuna vitu wamerekebisha ofisini kwao.Ila kama unaweza kuinstall upya inakubali tu
 
Hata mimi ilikuwa hivyo hivyo nimejaribu kurestore lakini wapi.Nimempigia jamaa mmoja akaniambia kuna vitu wamerekebisha ofisini kwao.Ila kama unaweza kuinstall upya inakubali tu

Me nimezisearch ila hazikubali
 
Hakuna mautundu, itv na eatv zimeshaingizwa rasmi kwenye azam.
 
Ila kama una receiver ya Mediacom au strong ukisearch utazipata

Wakuu, mimi nina receiver ya mediacom,na ninatumia decorder ya azam, lakini sijui jinsi ya kuunga ili nipate chanel zaidi, msaada please!!
 
hawajaziondoa zipo ila wamezitenganisha na Azam channels, bonyeza ok kwenye remote kisha vol utaona other channels ukibonyeza tena utaona radio na mambo yapo poa tu

Mkuu naomba unielekeze vizuri hapo,maana mimi nimejaribu kubonyeza ok ikaniletea sub menu ya channel halafu nikabonyeza vol up naona kimya.Nikajaribu kubonyeza zote ok na vol lakini sioni hicho ulichokisema.Sijui nakosea wapi msaada tafadhali
 
Na pia sipati radio yoyote kwenye ki azam changu wakuu, samahani kwa ushamba wakuu.
 
hawajaziondoa zipo ila wamezitenganisha na Azam channels, bonyeza ok kwenye remote kisha vol utaona other channels ukibonyeza tena utaona radio na mambo yapo poa tu

salute kaka siamini kama nimeshindwa kutambua hiki kitu.

case solved. hawajafuta tv bali wametenganisha
 
channell zote zipo ila wamezitenganisha bonyeza ok kisha arrow ya kushoto/vol utazikuta
 
Bwana Lunyasi unapobonyeza ok kitakachoonekana ni list ya channels na juu kabisa heading itakuwa Azam channels,baada ya hapo ndio bonyeza vol na utaziona,other channels ukibonyeza tena utaona radio tena unarudi mwanzo,
 
Jamani kuna update kwenye azam tv, husiupdate ukijiroga tu zile channel zetu huzipati tenaaa!!

kuna mjinga mmoja ameenda kwenye ukurasa wao wa fb katoa siri zote zinazo fanyika huku jf,ilo limtu limetokea huku huku,mi mtu mingne sijui ikojeee,haiwezi kuficha siri kabisa.
 
Bwana Lunyasi unapobonyeza ok kitakachoonekana ni list ya channels na juu kabisa heading itakuwa Azam channels,baada ya hapo ndio bonyeza vol na utaziona,other channels ukibonyeza tena utaona radio tena unarudi mwanzo,

Sawa nashukuru mkuu.Nadhani mimi inanigomea sababu nilifuata maelekezo ya kwanza kabisa kwamba nifanye factory setting na hio ndiyo itakuwa sababu ya kunigomea.
 
Back
Top Bottom