Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

unakwama wapi mkuu,mbona ilo zoezi dogo sana.?tukifika sat mnyororo sindo utapasuka medula... Niwekee picha nione hapo unapo kwama,mpaka utaelewa tu mwaka huu.

Nyanya mbichi 20:30 2 Hours Ago
nashukuru wakuu
Babu wa Loliondo
hasa kwa uvumilivu wako na
kutokata tamaa najua maumivu ya
kumfundisha mtu asie elewa kwa
urahisi
HATIMAE NIMEWEZA BAADA YA
SIKU 22
Ph-25
nawashukuru saaaaaana.

HAPO MKUU.
 
Stil more fta freqnc needed here pal's.
 
teh teh teh ongera yako kaka,kazi nzuri umefanya.

homgera na shukrani nyingi ni kwako kipindi nafunga kuna watu waliniambia niwatoe 40000 waniingizie chanel ambayo itakua inaonesha epl 1 kwa wiki free nadhani ndio hizi.
 
MMMMMMhhhhhhhhhhhhhhhhhhh???????????? hizi pande nimepotea huku sio kwangu
 
homgera na shukrani nyingi ni kwako kipindi nafunga kuna watu waliniambia niwatoe 40000 waniingizie chanel ambayo itakua inaonesha epl 1 kwa wiki free nadhani ndio hizi.

teh teh teh wa tz bna kila kitu njaa tu,sijui kama tutafika,any way nitaweka frqnce nyingne inayo onesha epl,na bundesliga soon.
 
MMMMMMhhhhhhhhhhhhhhhhhhh???????????? hizi pande nimepotea huku sio kwangu

teh teh teh ulizani mmu huku.? a.k.a makopa sesion.? Huku ni lnb,computer,amplifier,madishi,na ningumu kupigwa ban huku,poa rudi kwenu mkajifunze mapenzi.
 
teh teh teh wa tz bna kila kitu njaa tu,sijui kama tutafika,any way nitaweka frqnce nyingne inayo onesha epl,na bundesliga soon.

kaka itakua poa sana ,ila kama ww ni mweusi kama mama itakua ulizaliwa kimakosa "ashakum c matusi" ni watanzania wachache sana wenye moyo kama wako.
.Watu weusi wengi wao hatupendi maendeleo ya wenzetu.

Naamini kwa 100 per cent elimu hii unayoitoa ww bure kuna raia wanapiga pesa.The way navyowajua wabongo.
 
mkuu mimi ni mtz tena black toka mwanza,ni miangaiko ya dunia tu ndo imenifanya niwe hivi, nimezunguka tz nimejionea maisha ya ajabu sana wenzangu wanaishi,mlo mmoja tena wa tabu,maisha magumu,marafiki wa nafki,hatupendani,usaliti umezidi... Nikaona yote haya yanini,hapa duniani tunapita tu,wote wasafiri bora niwe na share na hawa wenzangu chochote kile nacho kipata,nilicho nacho ilmradi maisha yanaenda mkuu.

Wacha tu wapige pesa mana kwao ndo wanaona inawafaa,ila kwangu nitatoa bure bila malipo mkuu.
 
sat ya azam ni Eutelsat East 7A

sat nilio-add ni PAS 7 10 68 5

Freq
12728H30000
12520H27500
11192H03210

hapa mkuu ndio sipati kitu so naomba nijue tatizo langu liko wapi.

Kuna sehemu nimepita nikaona kuna mdau katupia hizi frequency 11144H5714 na 12646H30000 zinashika channels gani kwenye azamtv mie niko away ningeweza test.
 
Msaada kaka jinsi ya kuzi-set hizo sate kwenye king'amuzi cha azam!
Kuna sehemu nimepita nikaona kuna mdau katupia hizi frequency 11144H5714 na 12646H30000 zinashika channels gani kwenye azamtv mie niko away ningeweza test
 
naisi kuna chanel za canal+,muvicom na nyingne za congo kama kumbukumbu yangu bdo hai apo mkuu mana izo frqnc nimetumiaga kitambo sana.
Okay ngoja tusikilize na wadau wengine wanasemaje. Ahsante kwa mchango wako pia.
 
Jamaa wa milan cable wanatuonyesha EPL nzima kwa 20000 mnaoishi dar msiniulize tulieni hivyohivyo wa mkoa tufaidi.
 
Kuna sehemu nimepita nikaona kuna mdau katupia hizi frequency 11144H5714 na 12646H30000 zinashika channels gani kwenye azamtv mie niko away ningeweza test

mkuu baada yakupitia nondo zangu imenibidi nije na haya majibu kuhusu izo freqnce.

A) izo freqnc za kwanza hazifunguki kwenye decoda ya azam,labda utumie rcver zaidi ya iyo.

B)izo za pili zinapakage ya chanel 34,zote ambazo tayar unazitumia,kwan 12646 h,30000, inautofauti mdogo sana na 12645,30000 ambayo iko kwenye decoda za azam,ukiiactivate io chane 34 zitajirudia upyaaa(zitakua mbilimbili)
 
Back
Top Bottom