Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Uko sahihi kabisa maake mm ndio nimefika home hapa nikazijaribu mwisho wake zimejirudia mara mbili mbil,kabla hata sijapata jibu kwa nin tayar umeshatoa jibu,asante kwako Ph-25
 
Uko sahihi kabisa maake mm ndio nimefika home hapa nikazijaribu mwisho wake zimejirudia mara mbili mbil,kabla hata sijapata jibu kwa nin tayar umeshatoa jibu,asante kwako Ph-25

usijari mkuu,hapa tunabadirishana mawazo bna,unatoa hoja inajadiliwa kiundani na evidence za kutosha,sasa chakufanya hapo ni ku delete tu.
 
Wadau nimeona izi frqnce pia wawapatie hapa mana wakuu wamezidisha pm kwangu..

12728h 30000.

Hapa unapata chane kama sita,kuna rts,crtv,zimbo tv,muvi combo,muvi...

Matumizi a) unaweza uka add sat ya angle 7 @e au ukai add apo apo kwenye izo mbili za azam kisha uka iscan...

Asanteni.
 
Natafuta sana freq ambayo inaonyesha bundesliga itakayofit hapa hapa kwa azam bila ku adjust dish
 
Natafuta sana freq ambayo inaonyesha bundesliga itakayofit hapa hapa kwa azam bila ku adjust dish

mkuu kama unataka game nyingi unaitajika uipate stv 1&2 hawa awana longo longo,ila ata apo ulipo io chanel ya bukede wanaoneshaga game izo pia.
 
Tatizo kuipata stv 1&2 itanibidi ku adjust dish,hapo ndio ninapopata ugum sasa,hawa bukede sijaona wakionyesha labda NBS wanaonesha mechi moja ya UCL za jtano pia WBS hua wanaonesha mechi moja ya EPL kila jmosi
 
Jamani kuna update kwenye azam tv, husiupdate ukijiroga tu zile channel zetu huzipati tenaaa!!
 
Jamani kuna update kwenye azam tv, husiupdate ukijiroga tu zile channel zetu huzipati tenaaa!!

watakiharibu king'amuzi maana watu wakiongeza chanell haiaffect mapato yao.

anyway ni bidhaa ya newland sijacheki ila am preety sure kuna firnware za kuflash hiki kidude
 
watakiharibu king'amuzi maana watu wakiongeza chanell haiaffect mapato yao.

anyway ni bidhaa ya newland sijacheki ila am preety sure kuna firnware za kuflash hiki kidude

Nasikia ukirestore factory settings zinarudi
 
Mimi mbona nimejaribu kurestore factory setting lakini bado hazijarudi kabisa
 
mh majanga, nimewasha hicho king'amuzi nikiwa naendelea na shughuli nikakuta inaji update, mara channel zote hola . Mpira Leo imekula kwangu, iwapo mlio restore zimerudi mtujulishe
 
Back
Top Bottom