Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Sasa hapa dini zina uhusiano gani? Sometimes ukikaa kimya watu hawatojua how s.tu.pid you are! Wewe unaangalia tv kwenye mgahawa, halafu unalalamika giza? Umemsikia nani anayemiliki decoder ya Azam kalalamika kama picha zina giza? Ooh, kwa hiyo chuki yako kwa waislam imeingia mpaka kwa mmiliki wa Azam tv?
Udini umekuja kwasababu nyie mnao kwenye mioyo yenu... na mnavyochangia tu mkiona maslai ya muislam mwenenu inazungumziwa basi mnakuja na dhihaka kede kede... mkipewa makavu ndio mnakaa sawa... kitu kama hakina ubora ukisifie kwa nini? hapa watu wanarekebishana na mtaelewa tu... hata kwenye siasa imekuwa hivi hivi akishambuliwa Kikwete kakosea mnasema oh Raisi anasemwa kwa sababu muislam... nyie ndio mko hivyo... mimi nimesema Decoder inaonesha Giza kwasababu nimeshuhudia hata kama nimetizama Restaurant Bidhaa za kichina ni za kichina tu hata ziuzwe wapi marekani au ulaya ni zile zile hawana uwezo wa kuziongeza zikawa bora zaidi...
 
mkuu calm down, nafikiri umemquote jamaa vibaya alimaanisha hao wanaobishana mambo ya dini ndio wapeleke facebook not huku.
Hope niko right

mkuu uyo mjinga kaniqoute mimi 1st,kisa nimewapinga hao wadin,soma vzr coment zake utaamini nikuambiacho,labda yeye ndo awekosea,mimi ni right mkuu,kanichefua kishenz unajua,watu tunapeana mawazo yeye analeta mambo ya mmu hapa.?
 
Ndugu mbona unajibu Kwa asira hivyo, ebu tulia kidogo, nakushauri nenda kwenye hiyo restaurant waulize hizo picha zinatoka mojakwa moja kwenye receiver au wana TV nyingine wanaitumia km loop out? King'amuzi cha azam binafsi sijaona channel zenye Giza zote zipo. Narudia tena nenda kawaulize vizuri maana mm natoa majibu ya nikionacho sio cha kuambiwa,scientist wanasena no research no right to speak, angalia comment za wenye hicho king' amuzi
Niwaulize kwa lipi wakati TV na Decoder zipo hapo hapo na Channel wanachange kwa kutumia Remote... hivyo haipitii popote ni Direct connection... kuna baadhi ya channel zipo ok ila hazijafikia ubora ule kama wa DSTV kwa picture quality... humu kuna wajinga kazi yao kuponda au kutetea ujinga.... ukiwachekea wanadhihaki sana ila dawa yao mimi ninayo na huwa wanatulia sana... baada ya kuwapa zao...

Ukichukua Decoder ya Azam na DSTV then utizame kwa TV yako ukilinganisha picha haziwezi kuwa sawa...DSTV ni bora zaidi.. sasa mtu anakuja anasema AZAM ndio best??
 
Mkuu naomba maelekezo ya kuipata hio chanel

mkuu izo makitu unazipata ktk sat ya Amos5@17 ambapo pia utaipata eutelsat @17 ange hio hio,kuna fta nying hapo zinazo rusha bori, mfano rdv,oromoya,stv1&2,orbt ya benin,na nyingne nying tu,kama uko poa mpaka hapo nanbie niendelee,ila naweza kuku pm,mana hapa kumevamiwa tayari
 
mkuu ubora wapicha unategemea na tv pia,sio decoda tu,kama lenz za rangi za tv yako mbovu,hata ungetumia decodo yenye uwezo wa kung'amua mawimbi wa 3d,hupati ubora unaoutaka.
 
mkuu izo makitu unazipata ktk sat ya Amos5@17 ambapo pia utaipata eutelsat @17 ange hio hio,kuna fta nying hapo zinazo rusha bori, mfano rdv,oromoya,stv1&2,orbt ya benin,na nyingne nying tu,kama uko poa mpaka hapo nanbie niendelee,ila naweza kuku pm,mana hapa kumevamiwa tayari

Hata me siwaelewi vp dini inahusiana na mambo haya na Azam me natumia picha iko vizur
 
Guyz humu tunajadili jinsi ya ku add fta channels na trick nyingine za fta not quality za hizo decoder na mambo ya kidini. Mkitaka kujadili quality za hizo decoder na mambo ya dini anzisheni thread zenu yapo majukwaa maalum ya hizo mambo.
 
mkuu izo makitu unazipata ktk sat ya Amos5@17 ambapo pia utaipata eutelsat @17 ange hio hio,kuna fta nying hapo zinazo rusha bori, mfano rdv,oromoya,stv1&2,orbt ya benin,na nyingne nying tu,kama uko poa mpaka hapo nanbie niendelee,ila naweza kuku pm,mana hapa kumevamiwa tayari
mkuu just ignore them, endelea kushare good tricks
 
we jamaa kumbe mtu wa hovyo sana wewe, yani mi napinga mambo ya udin ktk uzi wangu,alaf unanambia naleta mipasho.? Mbaya zaidi unaitaji frequence nikupe ili upate chanel ya RDV.? Jinga sana wewe,shda unayo wewe alafu unaleta maneno ya h.e.d.h.i hapa,nenda ka google sara,m.a.k.a.l.i.o wee..

Mkuu ph-25 samani kidogo, nadhani huyo jamaa hazungumzii wewe anamaanisha yule jamaa wa kuona azam TV mgahawani, ukisoma tena comments zake utagundua hilo. Kamanda endelea
kutoa elimu tupo pamoja mkuu
 
mkuu izo makitu unazipata ktk sat ya Amos5@17 ambapo pia utaipata eutelsat @17 ange hio hio,kuna fta nying hapo zinazo rusha bori, mfano rdv,oromoya,stv1&2,orbt ya benin,na nyingne nying tu,kama uko poa mpaka hapo nanbie niendelee,ila naweza kuku pm,mana hapa kumevamiwa tayari

Yap mkuu VP hizo satellite zinaingia pamoja kwenye lnb moja au inabidi lnb ziwe 2?
 
we jamaa kumbe mtu wa hovyo sana wewe, yani mi napinga mambo ya udin ktk uzi wangu,alaf unanambia naleta mipasho.? Mbaya zaidi unaitaji frequence nikupe ili upate chanel ya RDV.? Jinga sana wewe,shda unayo wewe alafu unaleta maneno ya h.e.d.h.i hapa,nenda ka google sara,m.a.k.a.l.i.o wee..

Mkuu hujanielewa, nimeunga mkono maelezo yako kwa kusema hao wanaoleta udini humu wapeleke mipasho yao fb! Sorry kaka sikukusudia wewe.
 
mkuu uyo mjinga kaniqoute mimi 1st,kisa nimewapinga hao wadin,soma vzr coment zake utaamini nikuambiacho,labda yeye ndo awekosea,mimi ni right mkuu,kanichefua kishenz unajua,watu tunapeana mawazo yeye analeta mambo ya mmu hapa.?

Doh, kaka msg hiyo inamhusu huyo aliyeleta udini humu, sio wewe kaka.
 
Wakuu eeee mimi kdg nakautalaamu kuhusu ict,achaneni na haya ma chanel ya kutumia ma dish iwe ku band ama c band.kanunue smart tv yyte ambayo ina port ya lan(local area network)hutumika kwenye internet then nenda ktk network set up ya menu ktk tv yako uki serch utapata chaneli mpaka elf 4.nb hakikisha umeunganishwa na internet
 
Je nikiunga internet kwa kutumia wireless inawezekana haya maujanja??
 
Poa mkuu let me try, yangu haina port ya LAN lakini inakamata Wi-fi
 
Yap mkuu VP hizo satellite zinaingia pamoja kwenye lnb moja au inabidi lnb ziwe 2?

mkuu sat zote izo zinaingia ktk lnb moja,na saiz nimetoka kucheki boli la liverpool kupitia rdv.
 
Mkuu hujanielewa, nimeunga mkono maelezo yako kwa kusema hao wanaoleta udini humu wapeleke mipasho yao fb! Sorry kaka sikukusudia wewe.

usijar mkuu,wote wanaume,tuendelee na mada haya ni mambo ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom