Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 682
Kuna masuaili mengi ya kujiuliza kabla ya kutoa comments na kutoa mada au comments ni vizuri ukatoa kitu unacho kifahamu na ukaelezea kiufasaha.
Kwanza niulize je hizo shule mnazosema zimepokea laki mmoja sijui mbili ni shule gani? Taja jina la shule na mwalimu mkuu. Na pia taja ni kiasi gani walipewa mwaka jana na juzi?
Je unajua tanzania kuna shule ngapi jumla? Ulinganishe na hela zilizo tengwa???
Jaribuni kufafanua mnacho ongelea kuliko kuandika mambo kama matahira