WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,588
- 2,463
HII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Ndg yangu....soma vizuri ulichoandika hapo huu..kila shule 1 bilion? au ulimaanisha 1milion?
kuna shule hapa ya sekondari ina more than 600 students na wamepewa 900,000/= .
Ukisikiliza wanasiasa, utafikiri kweli shule zmepewa mihela kibao...lakini njoo mashuleni uzione hizo pesa zenyewe zilivo kiduchu..
Sjui shule za umma ztaendeshwaje?