Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

- ok mbona hujagusa mada kabisa maana unatakiwa unifungulie thread inayonihusu hahahahahahaha U know

le Mutuz

Mkuu kwanini usimshauri boss wako kama vyeti anavyo aviweke hadharani ili kumaliza hili saga.
Je kwa kauli ya rais leo ni sawa kwa watumishi zaidi ya 10,000 kufukuzwa kwa kufoji kama kigezo ni utendaji mzuri wa mtu, Je kati ya hao 10 elfu hakuna watendaji wazuri? Mzee wa degree 3 naomba majibu
 
- Mbunge Kingu kwa roho safi alimuomba radhi Makonda kwamba alidanganywa, yalishaisha.

le Mutuz
alifyata mkia, njaa mbaya, utapiganaje na alieshika mpini wakati wewe umeshika makali, utakuwa fala sana mtu kama wewe lemuz mtu wa madili mtu wa totoz ukae mbali na mkondo wa maji
 
Toka Makonda kawa Mkuu wa Mkoa, kazi alizofanya kwa kipindi chake kifupi ni zaidi ya wenye Masters na Phd waliopita pale, acha apige kazi...labda mna wivu naye...
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
acha kutuletea porojo za instagram huku jf..
 
Mbona haujaandika mengine aliyosema Rais juu ya Makonda leo!?

Nipo nacheka jinsi mnavyolia kuwa ana elimu yake

Ha ha haaaaa

Makonda oyeeeeeee

Mwambie mkuu wa nchi yeye aendelee kutuzarau na kutuona hatuna akili kwa kutoongeza mishahara wakiti wakina Mnyeti au Nyeti wakitumia pesa kuhonga watu wa kijinga wa chadema. Wengi hatuna ushabiki wa chama iliatuna uchungu na nchi....mkumbuke nchi ni yetu sote....Acheni dhuruma hii.. Kwani mshahara wa raisi ni TSH ngapi maana anaweza kuwa jeuri kumbe yeye na bashite wanapata pesa nyingi...
 
Unaona sasa elimu ilivyo muhimu! Wapi nimetukana le akili nyingi?
Ndg yng ktk watoto wa wakubwa waliopotea basi ww ndyo umepotea mazma,huwaoni akna January na Hussein Mwinyi? Humuoni Ridhi-1 wa Jk? Do they behave like you? Usimdhalilishe mzee wako
- hahahahaha so kusoma kwako faida yake ni kutukana wanaume usiowajua kwenye mitadao na majina ya bandia? hahahahahahaha foolish

le Mutuz
 
Niaibu sana kuona mtu mwenye zaidi ya miaka 50 anajibishana na watoto wa 90..shame on you# unaweza kua mtu mzima umri lakini huna akili...uwezo wa kufikilia unapofika mwisho tambua unamatatizo unaitaji msaada#..umri kama wako ilibidi uwe mtu unaetoa nondo za kuwaasa vijana badala yake unajibishana nao tena kwa maneno ya kanga# umebeba jina la mzee wako lakini naona kama ulitendei haki# mzee wako ni mtu poa # ila wew unamchafuria jina lake
 
Mwambie mkuu wa nchi yeye aendelee kutuzarau na kutuona hatuna akili kwa kutoongeza mishahara wakiti wakina Mnyeti au Nyeti wakitumia pesa kuhonga watu wa kijinga wa chadema. Wengi hatuna ushabiki wa chama iliatuna uchungu na nchi....mkumbuke nchi ni yetu sote....Acheni dhuruma hii.. Kwani mshahara wa raisi ni TSH ngapi maana anaweza kuwa jeuri kumbe yeye na bashite wanapata pesa nyingi...
Pesa aliyopewa Lipumba na Pesa inayotumika kuwabambikia kesi Wapinzani kuwakomoa visasi ni pesa nyingi kuliko kuwaongeza watu mishahara, hata le mutuz analipwa mamilion na kikundi chake kushinda kwenye Nassan nyeupe kuwafuatilia wabunge wa chadema na uovu mwingi, Pesa za walipa kodi zinatumika kwa mambo ya hovyo hovyo kuliko maendeleo.
 
Niaibu sana kuona mtu mwenye zaidi ya miaka 50 anajibishana na watoto wa 90..shame on you# unaweza kua mtu mzima umri lakini huna akili...uwezo wa kufikilia unapofika mwisho tambua unamatatizo unaitaji msaada#..umri kama wako ilibidi uwe mtu unaetoa nondo za kuwaasa vijana badala yake unajibishana nao tena kwa maneno ya kanga# umebeba jina la mzee wako lakini naona kama ulitendei haki# mzee wako ni mtu poa # ila wew unamchafuria jina lake
No wonder hana wadhifa wowote, Nafikiri wanajua matatizo yake
 
Ok, aliomba radhi kwa sababu gani?
Kwamba aliomba radhi kwa sababu huyo anayejiita makonda alisingiziwa kufoji vyeti?
Kwa nini huyo makonda asingeenda mahakamani kufungua kesi kama Mahanga alivyofunguliwa kesi na akashindwa kesi ikapelekea kudaiwa mamilioni ya pesa?
Kama makonda ana vyeti halali basi aende mahakamani akafungue kesi kuwa anachafuliwa na siyo mambo ya sijui tuyamalize hiyo hakuna!!
Yaani wee jamaa nakuona ni jitu zima zwazwa na zoba la hovyo kabisa!
Bt ukweli ushajulikana kuwa wewe na bashite mnararuliwa ma**** ndio maana unamtetea sana kila mara!
Umefungua kitakataka chako eti tv kimebuma huko unatafuta kujilamba ili upate pesa ya kuwekea mafuta kale kanoah kako kanakotoa makelele kama mkokoteni!
Nyambaf leta vyeti vya makond hapa!!
Hapo awali nikasema huyo mbunge anayetoa kisingizio cha kudanganywa hata uwezo wake wa kujenga hoja mjengoni utakuwa ni sifuri. Sasa sijui wabunge wa aina yake wapo wangapi mjengoni na ndio hao wanaotungenezea sheria. Nafikiri kuna wabunge pushovers wakutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom