Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

Katika miezi ya hivi karibuni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kupitia CCM amewahi kuhoji uhalali wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda, na akaenda mbali zaidi yupo tayari kufukuzwa uanachama lakini lazima elimu ya Makonda ieleweke"

Leo mh Rais na mwenyekiti wa CCM ametamka wazi hana shida na elimu ya Makonda hata kama hajui kusoma A.

Kwa kauli hii ya mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi, kauli ya mh mbunge imekufa, hivyo wananchi tunasubiri kauli yako kama unaendelea kumpinga Makonda au utaunga mkono rangi nyeusi na huku rangi ni nyeupe.

Je utachukua hatua gani kama hukubaliani na Rais?
Nakushauri ujizulu, mwanasiasa bora huachia ngazi ili kulinda heshima yake na kile anachokiamini
singida magharibi,singida mashariki,Singida kaskazini mh!!
 
Uncle wangu wasikuchonganishe na Rais Mkuu hajasema Makonda hana au ana Elimu amesama "amesema eimu ni nn kama hukamati madawa ya kulevya.
 
Mbona Mhe,RC Makonda anapiga kazi nzuri tu ndg zangu wa TZ? amezuia tinted za magari zisiondolewe amakarabati magari ya maafande anajenga maofisi ya waalimu waalimu wa dar.wanapanda daladala kwa vitambulisho wapi mtampata mtu mchapakazi kama huyu? Tulieni tuinjoy ubunifu wa huyu kijana atulize jiji.
 
Niaibu sana kuona mtu mwenye zaidi ya miaka 50 anajibishana na watoto wa 90..shame on you# unaweza kua mtu mzima umri lakini huna akili...uwezo wa kufikilia unapofika mwisho tambua unamatatizo unaitaji msaada#..umri kama wako ilibidi uwe mtu unaetoa nondo za kuwaasa vijana badala yake unajibishana nao tena kwa maneno ya kanga# umebeba jina la mzee wako lakini naona kama ulitendei haki# mzee wako ni mtu poa # ila wew unamchafuria jina lake
Nawe umeongea eti sina shaka huyu atakua pacha wako
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Mwenyekiti wa itikadi na uenezi wa mkuu wa mkoa?
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Yes ukifanya kosa na mkuu akilikubali basi holo si cosa tena
 
Mbona Mhe,RC Makonda anapiga kazi nzuri tu ndg zangu wa TZ? amezuia tinted za magari zisiondolewe amakarabati magari ya maafande anajenga maofisi ya waalimu waalimu wa dar.wanapanda daladala kwa vitambulisho wapi mtampata mtu mchapakazi kama huyu? Tulieni tuinjoy ubunifu wa huyu kijana atulize jiji.

Una uhakika na unachokisema?

Thibitisha.
 
Hata proof za kutengeneza mmeshindwa.. unaishia porojo na kelele zako za humu tanguuuuu.. ha ha haaaaaa
Kuna ugumu gani kutoa vyeti vya Bashite hadharani?

Mwanzoni tulipoanza kumdai alikimbilia nyumba za Ibada kwenda kulialia lakini akagonga mwamba.

Sasa mumeamua mmutetee kwa nguvu zote hadi mnadiriki kusema hata kama hajui A basi warudisheni kazini wanyonge wote mliowatimua kisa vyeti fake maana na wao huenda hawajui A.

Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake, msidhani watu ni wajinga kama ninyi watu wanawaangalia tu lakini wakija kujibu mapigo mtaumia sana.
 
Hiki kizazi cha wazee wa miaka 50+ kubishana na vijana wa miaka 20+ mitandaoni kinahitaji kufanyiwa novena na maombi mengine maalum hasa mwezi huu wa Rozari Takatifu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acheni kumjazia maneno Mkulu

Yeye aliongelea hilo mnalopigia kelele.. kwa sababu hamchokiiiiiiiii na anazidi kuwaumiza vichwa ha ha haaaaaaaaaa.. Mimi penda sana Magufuli
Washamba na malimbukeni lazima wapendane tu.
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Kwa hiyo elimu ya Makonda ni halali ?
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Ahhh we jamaa nakukubali sana sana sema Tatizo siku hizi sikuoni kabisa ktk mada...nakukubali Mkuu...JF Ndo kila kitu...uwe unakuja humu Mkuu "Akili Kubwa" you know...
W. J. Malecela
 
Amuombe radhi kwa lipi ?makonda Hakudanganya elimu yake au majina anayotumia sio ya bandia au hakukwapua vyeti
vya mtu mwingine? Wewe kubwa jinga acha upumbavu wako.... hunaga akili!
Ushahidi uko wapi?
 
wewe unashinda kwenye Nissan nyeupe na Jerry muro mna mabunduki unataka atumie jina lake mwende kumpiga Risasi kama Lisu, foolish ni wewe f.ala mkubwa unajipatia pesa kwa njia haramu kwa kazi haramu za kuutetea Uovu.
Bila ushahidi zitakuwa FUNUNU tu.
 
Back
Top Bottom