William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
I never said I was, and the point is not age but the proportion of grey to white matter in ones brain!
- young man learn how to use your name like me, then we can argue ok!
le Mutuz
I never said I was, and the point is not age but the proportion of grey to white matter in ones brain!
Kaka mkubwa tunakutegemea kwenye kingereza vile mwenzetu una digrii tatu na umekaa sana huko ilikoanzia hii lugha, hapa ulimaanisha nini, au ni mimi sijui kingereza mkuu
Yaani huo ndio ukweli alioujua Kingu?? Be serious Bro. Tiririka hapa kwa faida ya wengi- Mbunge Kingu kwa roho safi alimuomba radhi Makonda kwamba alidanganywa, yalishaisha.
le Mutuz
Piga screenshots ya hiyo tweeter hapa tuione- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!
le Mutuz
Yaani huo ndio ukweli alioujua Kingu?? Be serious Bro. Tiririka hapa kwa faida ya wengi
Piga screenshots ya hiyo tweeter hapa tuione
Better yet, how about man to man argument ...you of all people should know umebeba uzito gani kwenye hilo jina, ambalo badala ya kukubeba unalipa a political nose dive kila kukicha kwa majibizano yaliyo so cheap!- young man learn how to use your name like me, then we can argue ok!
le Mutuz
Hamuwezi kumsafisha hata kama iweje.Mbona haujaandika mengine aliyosema Rais juu ya Makonda leo!?
Nipo nacheka jinsi mnavyolia kuwa ana elimu yake
Ha ha haaaaa
Makonda oyeeeeeee
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!
le Mutuz
Nakushauri anzisha bifu na Makonda ili kukata weight. Manake sio salama kwa overweight Kama wewe mwenye utapiamlo(Malnutrition) kuendeleza Yale mambo yatakayoimarisha utapiamlo. Ni vyema sana kama ukitafuta stress ili urudishe mwili mahala pake.- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!
le Mutuz
Mkuu ujue kuwa Le mutuz bila Bashite hawezi kuishi Dsm, kwa sasa Le mutuz matajiri wengi wanamkimbia kaamua kuweka kambi ya Kudumu kwa Bashite anakula, kunywa, kwenda toilet kwa pesa anayolipwa na Bashite mda wote Akili zake ndogo zipo kwa Bashite.Better yet, how about man to man argument ...you of all people should know umebeba uzito gani kwenye hilo jina, ambalo badala ya kukubeba unalipa a political nose dive kila kukicha kwa majibizano yaliyo so cheap!
hatathubutu kwani akifanya hivyo itakuwa mwisho wa kuzurula bar na mahotelini kusaka vichepuko vitoto ili wavikope, kwa sasa Le mutuz bila Bashite hawezi kuishi hana kazi anamtegemea Bashite kwa 100%Nakushauri anzisha bifu na Makonda ili kukata weight. Manake sio salama kwa overweight Kama wewe mwenye utapiamlo(Malnutrition) kuendeleza Yale mambo yatakayoimarisha utapiamlo. Ni vyema sana kama ukitafuta stress ili urudishe mwili mahala pake.
Njia sahihi ni Kuanzisha battle In Makonda.
Nakushauri anza kua msema kweli. Msema kweli ni mpenzi WA Mungu.
Hahaha lemutuz unamtetea shogako? Haya twambie Bashite ana vyeti au hana kama hana twambie wale 12 mlowafukuza kosa lao ni lipi? Yani dr anyetibu watu afukuzwe kisa cheti feki aachwe mpuuzi mmoja kisa amewataja wauza unga kwa hisia zake? Mwambieni magufuli hili la vyeti feki linamwacha aonekane kituko japo anategemea wizi wa kura lakini 2020 atapata shida sana kuomba kura. Huku mafia kuna zahanati kama CHoLe, Ndagoni, na Baleni hakuna madaktar kabisaaa kisa vyeti feki yeye anamuachaje makonda?- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!
le Mutuz
Hahaha lemutuz unamtetea shogako? Haya twambie Bashite ana vyeti au hana kama hana twambie wale 12 mlowafukuza kosa lao ni lipi? Yani dr anyetibu watu afukuzwe kisa cheti feki aachwe mpuuzi mmoja kisa amewataja wauza unga kwa hisia zake? Mwambieni magufuli hili la vyeti feki linamwacha aonekane kituko japo anategemea wizi wa kura lakini 2020 atapata shida sana kuomba kura. Huku mafia kuna zahanati kama CHoLe, Ndagoni, na Baleni hakuna madaktar kabisaaa kisa vyeti feki yeye anamuachaje makonda?
hatathubutu kwani akifanya hivyo itakuwa mwisho wa kuzurula bar na mahotelini kusaka vichepuko vitoto ili wavikope, kwa sasa Le mutuz bila Bashite hawezi kuishi hana kazi anamtegemea Bashite kwa 100%
Ukweli ni upi??- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!
le Mutuz