Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
But sms was sent.- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!
le Mutuz