Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

Hiki kizazi cha wazee wa miaka 50+ kubishana na vijana wa miaka 20+ mitandaoni kinahitaji kufanyiwa novena na maombi mengine maalum hasa mwezi huu wa Rozari Takatifu.
 
Hapo awali nikasema huyo mbunge anayetoa kisingizio cha kudanganywa hata uwezo wake wa kujenga hoja mjengoni utakuwa ni sifuri. Sasa sijui wabunge wa aina yake wapo wangapi mjengoni na ndio hao wanaotungenezea sheria. Nafikiri kuna wabunge pushovers wakutosha
Wabunge wa CCM wengi Akili zao ni kama za Le mutuz ndiyo maana hupitisha mikataba ya hovyo hovyo pasipo kutafakari
 
kwa kauli hiyo, mfalme alitakiwa ajiudhuru.
Lakini kwakua bado hatujapata uhuru, inabidi tumvumilie tu kwasababu yeye ndie mtukufu
 
Tatizo la Makonda sio kujua kusoma sijui kuandika but forgery which is a crime
Nashangaa hili wanalikwepa sana na ndio kwenye hoja wao wanaanzisha hoja ambayo ni yao na sio hoja ya msingi wanayoikwepa,yani hz akili za makinikia ni shida sana wanajitoa ufahamu
 
RC Makonda yuko vizuri...wameambiwa na wengine waje wajifunze kwake....mmesikia nyie Marc wa huko? ila jamani jamaa anapiga kazi, kumbe haina haja kuaondoa vyeti feki...ukute ndio walikuwa wapiga kazi sana kukompasate uvyeti feki....
 
Kuwajadili watu kama Bashite na wasengerema wengine ni kupoteza muda..watu tuingie road usiku na mchana kudai katiba ...Dunia nzima itaona ..serikali itabanwa hata kupelekwa The Hague"si unajuwa kule wana sheria za kunyonga"Idiot
Naunga mkono hoja hii nchi sasa tunawaachia wapumbavu kama hao kutuongoza wanafanya kila wakitakacho ifike kipindi tuamke na hawa bila kuonesha kuwapinga watutuendesh sana na kutaka kukaa madarakan miaka yote hivyo nikuanza kuwapinga mapema sana na tuache kubishia mitandaoni cha maana nikuingia barabari liwalo na liwe
 
We jamaa nae mkubwa lakini ajabu unaishi kwa kujikomba kwa watoto wadogo,,,
IVI siutafute kazi ufanye Mkuu ??,, umri unaenda uho mzee
Makonda ni kijana Mdogo Le mutuz lina miaka 56 ni lezee tayari cha Ajabu amekuwa tegemezi kwa Bashite kwa 100% njaa ni kitu kibaya sana.
 
Jamani yeyote aliyejaribu kuhoji chochote kuhusu mtoto mpendwa hakuachwa salama.Kama huamini kamuulize nape.
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Huyo Kingu mwenyewe hajitambui ni MTU wa kuangalia upepo umekaa vipi ndo anajifanya anajua kuongelea jambo.Wakati suala LA elimu ya Makonda limeibuka akajua lazima aondoke ndio akajitokeza sema ili nae aonekane kuwa alionyesha msimamo. Ila baada ya kuona Makonda ni untouchable ndio akaamua jisalimisha akiona ataenda yeye.
 
Katika miezi ya hivi karibuni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kupitia CCM amewahi kuhoji uhalali wa elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda, na akaenda mbali zaidi yupo tayari kufukuzwa uanachama lakini lazima elimu ya Makonda ieleweke"

Leo mh Rais na mwenyekiti wa CCM ametamka wazi hana shida na elimu ya Makonda hata kama hajui kusoma A.

Kwa kauli hii ya mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi, kauli ya mh mbunge imekufa, hivyo wananchi tunasubiri kauli yako kama unaendelea kumpinga Makonda au utaunga mkono rangi nyeusi na huku rangi ni nyeupe.

Je utachukua hatua gani kama hukubaliani na Rais?
Nakushauri ujizulu, mwanasiasa bora huachia ngazi ili kulinda heshima yake na kile anachokiamini
Swali gumu
 
Hapa ndipo ninapoamini 100% yakuwa ile phd ni ya maganda ya korosho.
tapatalk_1505555273316.jpeg

Nonda aliwahi kunena namna hii
 
La Elimu kama umemsikia vizuri baba yake ameshachutama ndio maana kahamia hoja ya kujua au kutokujua kusoma

Acheni kumjazia maneno Mkulu

Yeye aliongelea hilo mnalopigia kelele.. kwa sababu hamchokiiiiiiiii na anazidi kuwaumiza vichwa ha ha haaaaaaaaaa.. Mimi penda sana Magufuli
 
- Wacha uchonganishi Mbunge Kingu alishamuomba radhi Makonda mwenyewe kwamba alidanganywa na maadui wa Makonda Bungeni kumbe ukweli sio kama alivyoambiwa, nenda Instagram ya Kingu utaona ameandika hayo maneno ya kukutana na Makonda VIP Uwanja wa ndege na kumuomba radhi yakaisha. Wacha uzushi!

le Mutuz
Ahahahahaaaaa sawa IT wa makonda
 
Hamuwezi kumsafisha hata kama iweje.

Endeleeni kunyonga wanyonge hivyo hivyo

Hata proof za kutengeneza mmeshindwa.. unaishia porojo na kelele zako za humu tanguuuuu.. ha ha haaaaaa
 
Back
Top Bottom