TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Nikiri moja kwa moja kwamba sikuelewi unataka nini.

1. Ni kipi nimekikataa na kipi nimekikubali? Sijasema kwamba ugonjwa ni mpya na mambo mengi juu yake hayafahamiki, unataka nisemeje?
Nimekataa kwamba tafiti hazifanyiki?....
You are right sir! Background?? So it turns out that you know me better right?

I underestimated the level of your comprehension, seems like I gave you credit than what you deserve.

Ahsante kwa kufunga mjadala.
 
Yaani WANAKURUPUKA tu Mkuu bila hata ya kutafakari kwa kina.

Hali ni mbaya sana. Vifo vingi sana. Serikali iko kimya.

Eti wametolewa hofu.

Kutolewa hofu yaonekana ni kutokujali watu kufa hadi mtu aguswe moja kwa moja ambao ni upumbafu wa hali ya juu sana.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huu mfumo wakuzungusha maiti ni kuendekeza matumizi mabaya ya fedha.Ageni Dar pelekeni anakotakiwa kuzikwa.
 
Napendekeza marehemu apewe heshima tajwa hapo juu kama kumbukumbu ya kuongoza wizara hiyo nyeti.

N.B intake ni depo ya askari wapya wa JWTZ na Operesheni ni depo ya askari wapya wa JKT.
 
Napendekeza marehemu apewe heshima tajwa hapo juu kama kumbukumbu ya kuongoza wizara hiyo nyeti.

N.B intake ni depo ya askari wapya wa JWTZ na Operesheni ni depo ya askari wapya wa JKT.
So what ?

USSR
 
Mambo mengine bwana, unamaanisha kutokuwepo kwa hizo depo ulikuwa ni uamuzi wake kubana matumizi au ukaidi kwa viongozi wa juu waliotaka ziwepo?? Apewe heshima kwa mahitaji ya hizo depo kutokuwepo??

Watu wengine mna viwango gani vya fikra?? Halafu mnadhani tutasonga!
 
Viongozi wetu wanachangamoto kubwa zaidi ya tunavyofikiri. Mkwamo huu hautaisha hadi bunge nzima lipigwe na wenda bomu ili tuanze upya tofauti na hapo tutazidi kushangaa sana.
 
Jamani chanjo si tayari ipo?

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Kinadharia chanjo ipo:

 
Back
Top Bottom