TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.

View attachment 1877861

CURRICULUM VITAE – (CV)

SURNAME: KWANDIKWA
FIRST NAME: ELIAS
OTHER NAME: JOHN
SEX: MALE
MARITAK STATUS: MARRIED
DATE OF BIRTH: 1st JULY 1966
TRIBE: SUKUMA

EDUCATION:

CERTIFICATE OF PRIMARY SCHOOL EDUCATION:
Kisuke Primary School – Kahama (1977-1983)
CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION:
Mwenge Secondary School – Singida (1984-1987)
ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION (ACSSE):
Shinyanga Secondary School Shinyanga (1988-1990)
ADVANCED DIPLOMA IN ACCOUNTANCY:
Institute Of Finance Managements- IFM ,1999
MASTERS OF BUSINESS ADMINISTRATION (MBA):
Eastern and Southern African Management Institute –ESAMI, 2015

LEADERSHIP AND POLITICAL RESPONSIBILITIES
Minister-Defence and National Service- Dec 202 -today
Deputy Minister – Works 2017 – 2020
Member of Parliament 2015-2020
CCM – District Central Committee Member – Kibaha Town 2012-2015
CCM - District Central Committee Member – Kahama District 2015-2020
CCM – Regional Executive Committee Member Shinyanga Regional 2015-2020
Public Investment Committee Member – Tanzania Parliament 2015 – 2017
ALAT Executive Committee Member 2015-2020

EMPLOYMENTS - PROMOTIONS

NATIONAL AUDIT OFFICE – TANZANIA (NAOT)
Assistant Examiner of Accounts II (1990-1995)
Assistant Examiner of Accounts I (1995-1997)
Examiner of Accounts III (1997-1999)
Auditor III (1999-2003)
Auditor II (2003-2004)
Senior Auditor (2004-2005)
Chief Accountant (2005-todate)
Second Auditor Incharge – Kibaha
Audit Branch (1999-2000)
Second Auditor Incharge – TRA-VAT (2000-2005)
Head, Finance and Account Unit (Chief Accountant)
NATIONAL Audit Office(2005 – 2015)

MEMBER OF PARLIAMENT: Parliament of Tanzania – 2015-2020
DEPUTY MINISTER: Ministry of Works, Transport and Communication 2017-2020--

PROFESSIONAL QUALIFICATION
Advanced Diploma in Accountancy, IFM -1999
Certified Public Accountant (CPA-T), NBAA-2004
Associate Certified Public Accountant ,NBAA-2007

PROFESSIONAL ASSIGNMENTS
Trainer/Facilitator – Auditor Qualifying Examination – Morogoro Oct., 2004
Facilitator on a Training to Standing Parliamentary Accounts Committees on understanding of the CAGs Reports Financial Statements analysis and interrogation skills (April-May, 2008)

IN-SERVICETRAINING/EXAMINATION
Lower Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Higher Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Auditors Qualifying Examination Certificate (President's Office , 2004)
View attachment 1878372
Dah hakubahatika kupata JJ
 
Poleni sana wanafamilia, nilijuana na Kwandika nikiwa naa kazi maalum anzi akiwa NAOT alikuwa mtu mwema sana, akili kubwa
 
Poleni sana kwa ndugu wa marehemu especially familia ya marehemu. Duniani tu wapitaji na wasafiri. Tunatafuta mji ujao.
 
Hv mbowe akifa muda huu c raia watasema serikali imeua.? Je mtafurahia.?
Mtu anafurahi pale anapokufa mtesi wake au mshirika wa mtesi wake.
Akifa Mbowe wakati yuko mikononi mwa serikali obviously zigo la lawama lazima liwadondokee kwani serikali ina historia ya kufanya mashambulizi ya kuua na mengine hawakufanikiwa, serikali ina historia za kupoteza watu, kuua watu, kutesa watu yaani kwa kifupi serikali haiaminiki pale linapokuja suala la usalama au hata uhai wa mtu yoyote asiye kibaraka wao yaani mtu asiyefungamana na mrengo wao kisiasa.
Serikali imemuhujumu sana Mbowe kuanzia kiuchumi mpaka hizi hujuma zinazofanyika sasa za kumbambikia kesi kwa sababu za kisiasa, hivyo wanaweza kabisa kuwa na njama za kumuua ila njia ya kumuua bila ya kuonekana hawahusiki ndiyo bado hawajaipata.
 
Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.

View attachment 1877861

CURRICULUM VITAE – (CV)

SURNAME: KWANDIKWA
FIRST NAME: ELIAS
OTHER NAME: JOHN
SEX: MALE
MARITAK STATUS: MARRIED
DATE OF BIRTH: 1st JULY 1966
TRIBE: SUKUMA

EDUCATION:

CERTIFICATE OF PRIMARY SCHOOL EDUCATION:
Kisuke Primary School – Kahama (1977-1983)
CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION:
Mwenge Secondary School – Singida (1984-1987)
ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION (ACSSE):
Shinyanga Secondary School Shinyanga (1988-1990)
ADVANCED DIPLOMA IN ACCOUNTANCY:
Institute Of Finance Managements- IFM ,1999
MASTERS OF BUSINESS ADMINISTRATION (MBA):
Eastern and Southern African Management Institute –ESAMI, 2015

LEADERSHIP AND POLITICAL RESPONSIBILITIES
Minister-Defence and National Service- Dec 202 -today
Deputy Minister – Works 2017 – 2020
Member of Parliament 2015-2020
CCM – District Central Committee Member – Kibaha Town 2012-2015
CCM - District Central Committee Member – Kahama District 2015-2020
CCM – Regional Executive Committee Member Shinyanga Regional 2015-2020
Public Investment Committee Member – Tanzania Parliament 2015 – 2017
ALAT Executive Committee Member 2015-2020

EMPLOYMENTS - PROMOTIONS

NATIONAL AUDIT OFFICE – TANZANIA (NAOT)
Assistant Examiner of Accounts II (1990-1995)
Assistant Examiner of Accounts I (1995-1997)
Examiner of Accounts III (1997-1999)
Auditor III (1999-2003)
Auditor II (2003-2004)
Senior Auditor (2004-2005)
Chief Accountant (2005-todate)
Second Auditor Incharge – Kibaha
Audit Branch (1999-2000)
Second Auditor Incharge – TRA-VAT (2000-2005)
Head, Finance and Account Unit (Chief Accountant)
NATIONAL Audit Office(2005 – 2015)

MEMBER OF PARLIAMENT: Parliament of Tanzania – 2015-2020
DEPUTY MINISTER: Ministry of Works, Transport and Communication 2017-2020--

PROFESSIONAL QUALIFICATION
Advanced Diploma in Accountancy, IFM -1999
Certified Public Accountant (CPA-T), NBAA-2004
Associate Certified Public Accountant ,NBAA-2007

PROFESSIONAL ASSIGNMENTS
Trainer/Facilitator – Auditor Qualifying Examination – Morogoro Oct., 2004
Facilitator on a Training to Standing Parliamentary Accounts Committees on understanding of the CAGs Reports Financial Statements analysis and interrogation skills (April-May, 2008)

IN-SERVICETRAINING/EXAMINATION
Lower Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Higher Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Auditors Qualifying Examination Certificate (President's Office , 2004)
View attachment 1878372
Rip Elias.
 
maisha ya duniani ni mafupi sana ila binadaamu tunajisahau sana kama vile tutaishi milele.
unakuta watu wana gombana au hata kuuwana kisa cheo!! madaraka!!, watu wana rogana, wana fitiniana, wanapigana majungu kisa mtu afukuzwe kazi!! n.k n.k.
bora Mungu aliumba kifo maaana kifo ndio mwisho wa jeuri ya binaadamu.
kifo ni funzo kubwa kwa ss tulio hai.
apumzike kwa amani
 
Upotoshaji utakuwa mfuasi wa Gwajima tokea lini mgonjwa wa corona akapewa chanjo marehemu inawezekana alianza kuugua kabla ya chanjo haijazinduliwa TZ na lazima upone kwanza ndio upate vaccine.

Vile vile chanjo sio efficacy 100%.

kuna wachache sana hata wakipewa chanjo watakufa lazima.

Inaweza pia alikuwa na strong underlying disease.

Msizidi kupotosha kama Gwajima chanjo zinasaidia sana vifo vimepungua sana US na Ulaya sababu ya chanjo.
Zimesaidia nini wakati tunaona watu wanaitwa tena (wale waliokamilisha chanjo zote) kuja kudungwa tena eti wanaita ni "booster" baada ya kuona Delta inachana chana kinga zote za chanjo za awali! Islael wameanza, UK wapo njiani yaani watu tunakuwa tunashinda kwenye foleni za kuchanjwa na kuboost chanjo, na kureactivate chanjo.......
 
Tatizo la Mzungu anataka mwili wa Binaadamu uishi kwa Madawa yake aliyokutengenezea huko viwanda, yaani siku hizi watu hata machungwa hawali wao ni kununuwa vitamin c pharmacy na anakunywa basi kamaliza!!
 
Hivi unajipaka sanitizer au unatumia sanitizer! Tuweke sawa!
"Unajipaka" - inawezekana ukawa umechanganya maana ya "sanitizer' na vitu vingine. Sanitizer, ni neno la kiingereza linalomaanisha 'kusafisha/kuua vimelea kama bakteria kwa kutumia kemikali. Hii hainywewi mdomoni wala kudungwa kwa sindano. inapakwa juu ya ngozi au kitu kinachosafishwa.

"unatumia sanitizer" - inawezekana hapa una maana ya kuinywa kwa mdomo. Hapana. Sanitizer hainywewi.
 
Back
Top Bottom