TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Rip waziri
Ila viongozi wetu wanakata moto aisee
Sijui ni mimi mwenyewe ndio nimeona hili🤔🤔🤔
 
Habari wakuu


Tangu zimetoka taarifa za kifo cha waziri wetu wa ulinzi ndugu yetu mh. Elias Kwandikwa, nimekuwa nikisoma taarifa mbalimbali zinazohusiana na kifo chake lakini sijaona kisababishi kifo ni nini.

Au pengine taarifa hiyo imeshatolewa ila imenipitia kushoto sijaipata.. Tafadhari mwenye kujuwa kwa uhakika anijuze mimi na wengine tulio nyuma ktk hili.
 
Acha tuu hiki kikosi kazi kilivyoanza kwa demu wa tenda za sherehe za magu kwenda mfugale kimepita kwa wengi tuendelee kuangalia

Ningepata hiyo deal ningefurahi maana nikama 5 m per day
 
Habari wakuu


Tangu zimetoka taarifa za kifo cha waziri wetu wa ulinzi ndugu yetu mh. Elias Kwandikwa, nimekuwa nikisoma taarifa mbalimbali zinazohusiana na kifo chake lakini sijaona kisababishi kifo ni nini. Au pengine taarifa hiyo imeshatolewa ila imenipitia kushoto sijaipata.. Tafadhari mwenye kujuwa kwa uhakika anijuze mimi na wengine tulio nyuma ktk hili.
Piga simu Ikulu
 
Back
Top Bottom