Dah bonge la movie hlo humo utakutana na dr. Walter Bishop ndo alikua ana tumia hzo theories Nlianalia s1 mpka s3 nkawa cjaielewa hvi ila nliporudia tena ndo nkaipata vzr
haya mambo ni magumu sana. Nami yamenichanganya muda mrfu nikaamua kuyaacha!Wakuu mimi ni mdau wa mambo ya sayansi lakini nikiri katika vitu nimetumia muda mrefu kuvielewa bila mafanikio basi ni hii kitu inaitwa relativity theories za huyu jamaa anaitwa Einstein
Ukianza na mambo ya muda kupotea kadri spidi inavyoongezeka..mambo ya singularity( hata sijui ni kitu gani)
Kiujumla waga ninatafuta maelezo ya hii kitu theory of relativity kwa maelezo mepesi ntayoweza kuelewa ila duh nmekwama aisee
Najua kuna wajuzi wa haya mambo hapa tusaidiane kuifafanua hii
Kuna mahala nmesoma kua muda sio constant and people can travel to the future / can travel back time or out of time
Vitu gani hivi aisee
Kama kuna muvi inaelezea vitu hivi kirahisi nisaidieni
Aksante
Sent using Jamii Forums mobile app
mitaala ya elimu ya kitanzania ipo limited sana. unaweza ukarudi darasani ukapoteza miaka kibao na usiweze kuelewa.E = mc2
rudi darasani
wee jamaa umekoroga sana hapa.....Kwa mfano hii galaxy yetu ya milk way hipo karibu sana na dunia...
Wakuu mimi ni mdau wa mambo ya sayansi lakini nikiri katika vitu nimetumia muda mrefu kuvielewa bila mafanikio basi ni hii kitu inaitwa relativity theories za huyu jamaa anaitwa Einstein
Ukianza na mambo ya muda kupotea kadri spidi inavyoongezeka..mambo ya singularity( hata sijui ni kitu gani)
Kiujumla waga ninatafuta maelezo ya hii kitu theory of relativity kwa maelezo mepesi ntayoweza kuelewa ila duh nmekwama aisee
Najua kuna wajuzi wa haya mambo hapa tusaidiane kuifafanua hii
Kuna mahala nmesoma kua muda sio constant and people can travel to the future / can travel back time or out of time
Vitu gani hivi aisee
Kama kuna muvi inaelezea vitu hivi kirahisi nisaidieni
Aksante
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba uko deep sanaRelativity theories hasa inaongelea maswala ya time travel kwenye space ni kwamba kunauwezekana wakusafiri au kufika mahali ambapo kwa speed ya vyombo vya kawaida kama rocket ni ngumu sana kufika huko kutokana na speed yake. Kwa mfano hii galaxy yetu ya milk way hipo karibu sana na dunia lakini kuna galaxy kama Andromeda Galaxy ambayo ipo mbali sana na dunia lakini pia ndo galaxy ambayo ipo karibu na milk way galaxy nyota ambazo zipo kwenye Andromeda Galaxy zinatumia 2.537 million years mwanga wake kufika duniani kwaiyo ningumu sana mwanga wake kufika duniani sasa hiyo relativity theories inajaribu ku calculate kitu ambacho kitakuwa na uwezo wa kusafiri kwa speed kama mwanga au zaidi ili kuweza kufika maeneo ambayo yapo mbali zaidi na dunia yetu hii kama kwenye Andromeda Galaxy
Kuna amri ya kumi na moja inasemaRelativity theories hasa inaongelea maswala ya time travel kwenye space ni kwamba kunauwezekana wakusafiri au kufika mahali ambapo kwa speed ya vyombo vya kawaida kama rocket ni ngumu sana kufika huko kutokana na speed yake. Kwa mfano hii galaxy yetu ya milk way hipo karibu sana na dunia lakini kuna galaxy kama Andromeda Galaxy ambayo ipo mbali sana na dunia lakini pia ndo galaxy ambayo ipo karibu na milk way galaxy nyota ambazo zipo kwenye Andromeda Galaxy zinatumia 2.537 million years mwanga wake kufika duniani kwaiyo ningumu sana mwanga wake kufika duniani sasa hiyo relativity theories inajaribu ku calculate kitu ambacho kitakuwa na uwezo wa kusafiri kwa speed kama mwanga au zaidi ili kuweza kufika maeneo ambayo yapo mbali zaidi na dunia yetu hii kama kwenye Andromeda Galaxy