MAHENDEKA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2010
- 306
- 152
Wakuu mimi ni mdau wa mambo ya sayansi lakini nikiri katika vitu nimetumia muda mrefu kuvielewa bila mafanikio basi ni hii kitu inaitwa relativity theories za huyu jamaa anaitwa Einstein
Ukianza na mambo ya muda kupotea kadri spidi inavyoongezeka..mambo ya singularity( hata sijui ni kitu gani)
Kiujumla waga ninatafuta maelezo ya hii kitu theory of relativity kwa maelezo mepesi ntayoweza kuelewa ila duh nmekwama aisee
Najua kuna wajuzi wa haya mambo hapa tusaidiane kuifafanua hii
Kuna mahala nmesoma kua muda sio constant and people can travel to the future / can travel back time or out of time
Vitu gani hivi aisee
Kama kuna muvi inaelezea vitu hivi kirahisi nisaidieni
Aksante
Sent using Jamii Forums mobile app