Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea

MAHENDEKA

MAHENDEKA

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2010
Messages
275
Points
225
MAHENDEKA

MAHENDEKA

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2010
275 225
Wakuu mimi ni mdau wa mambo ya sayansi lakini nikiri katika vitu nimetumia muda mrefu kuvielewa bila mafanikio basi ni hii kitu inaitwa relativity theories za huyu jamaa anaitwa Einstein

Ukianza na mambo ya muda kupotea kadri spidi inavyoongezeka..mambo ya singularity( hata sijui ni kitu gani)

Kiujumla waga ninatafuta maelezo ya hii kitu theory of relativity kwa maelezo mepesi ntayoweza kuelewa ila duh nmekwama aisee

Najua kuna wajuzi wa haya mambo hapa tusaidiane kuifafanua hii

Kuna mahala nmesoma kua muda sio constant and people can travel to the future / can travel back time or out of time

Vitu gani hivi aisee
Kama kuna muvi inaelezea vitu hivi kirahisi nisaidieni

Aksante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,214
Points
2,000
Age
20
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,214 2,000
E = mc2
rudi darasani
 
I

Isack Michael

Senior Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
123
Points
195
I

Isack Michael

Senior Member
Joined Jan 12, 2017
123 195
Relativity theories hasa inaongelea maswala ya time travel kwenye space ni kwamba kunauwezekana wakusafiri au kufika mahali ambapo kwa speed ya vyombo vya kawaida kama rocket ni ngumu sana kufika huko kutokana na speed yake. Kwa mfano hii galaxy yetu ya milk way hipo karibu sana na dunia lakini kuna galaxy kama Andromeda Galaxy ambayo ipo mbali sana na dunia lakini pia ndo galaxy ambayo ipo karibu na milk way galaxy nyota ambazo zipo kwenye Andromeda Galaxy zinatumia 2.537 million years mwanga wake kufika duniani kwaiyo ningumu sana mwanga wake kufika duniani sasa hiyo relativity theories inajaribu ku calculate kitu ambacho kitakuwa na uwezo wa kusafiri kwa speed kama mwanga au zaidi ili kuweza kufika maeneo ambayo yapo mbali zaidi na dunia yetu hii kama kwenye Andromeda Galaxy
 
Prince Mujubu

Prince Mujubu

Senior Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
178
Points
225
Prince Mujubu

Prince Mujubu

Senior Member
Joined Jun 7, 2016
178 225
Time travel is far beyond our knowledge. Its a paradox in todays world may be next centuries.
 
Alpha Malima

Alpha Malima

Member
Joined
May 24, 2011
Messages
54
Points
125
Alpha Malima

Alpha Malima

Member
Joined May 24, 2011
54 125
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
17,039
Points
2,000
Age
22
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
17,039 2,000
Wakuu mimi ni mdau wa mambo ya sayansi lakini nikiri katika vitu nimetumia muda mrefu kuvielewa bila mafanikio basi ni hii kitu inaitwa relativity theories za huyu jamaa anaitwa Einstein

Ukianza na mambo ya muda kupotea kadri spidi inavyoongezeka..mambo ya singularity( hata sijui ni kitu gani)

Kiujumla waga ninatafuta maelezo ya hii kitu theory of relativity kwa maelezo mepesi ntayoweza kuelewa ila duh nmekwama aisee

Najua kuna wajuzi wa haya mambo hapa tusaidiane kuifafanua hii

Kuna mahala nmesoma kua muda sio constant and people can travel to the future / can travel back time or out of time

Vitu gani hivi aisee
Kama kuna muvi inaelezea vitu hivi kirahisi nisaidieni

Aksante

Sent using Jamii Forums mobile app
haya mambo ni magumu sana. Nami yamenichanganya muda mrfu nikaamua kuyaacha!
 
grand millenial

grand millenial

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
909
Points
1,000
grand millenial

grand millenial

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2018
909 1,000
Einstein hakuwahi kukubali kwamba unaweza kusafiri nyuma ya muda na aliwahi kulipinga hili sana tu.ila alisema tunaweza kusafiri kwenda mbele ya muda kama tutaweza kutumia chombo chenye spidi zaidi ya mwanga .
Na mpaka leo hii chombo chenye spidi kubwa ni zaidi ya spidi ya sauti.so MPAKA SASA TIME TRAVEL ITABAKI KUWA THEORY TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,615
Points
1,500
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,615 1,500
Wakuu mimi ni mdau wa mambo ya sayansi lakini nikiri katika vitu nimetumia muda mrefu kuvielewa bila mafanikio basi ni hii kitu inaitwa relativity theories za huyu jamaa anaitwa Einstein

Ukianza na mambo ya muda kupotea kadri spidi inavyoongezeka..mambo ya singularity( hata sijui ni kitu gani)

Kiujumla waga ninatafuta maelezo ya hii kitu theory of relativity kwa maelezo mepesi ntayoweza kuelewa ila duh nmekwama aisee

Najua kuna wajuzi wa haya mambo hapa tusaidiane kuifafanua hii

Kuna mahala nmesoma kua muda sio constant and people can travel to the future / can travel back time or out of time

Vitu gani hivi aisee
Kama kuna muvi inaelezea vitu hivi kirahisi nisaidieni

Aksante

Sent using Jamii Forums mobile app
search: minutephysics - YouTube, unaweza kupata mwanga kidogo.
 
dtj

dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
778
Points
1,000
dtj

dtj

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
778 1,000
Relativity theories hasa inaongelea maswala ya time travel kwenye space ni kwamba kunauwezekana wakusafiri au kufika mahali ambapo kwa speed ya vyombo vya kawaida kama rocket ni ngumu sana kufika huko kutokana na speed yake. Kwa mfano hii galaxy yetu ya milk way hipo karibu sana na dunia lakini kuna galaxy kama Andromeda Galaxy ambayo ipo mbali sana na dunia lakini pia ndo galaxy ambayo ipo karibu na milk way galaxy nyota ambazo zipo kwenye Andromeda Galaxy zinatumia 2.537 million years mwanga wake kufika duniani kwaiyo ningumu sana mwanga wake kufika duniani sasa hiyo relativity theories inajaribu ku calculate kitu ambacho kitakuwa na uwezo wa kusafiri kwa speed kama mwanga au zaidi ili kuweza kufika maeneo ambayo yapo mbali zaidi na dunia yetu hii kama kwenye Andromeda Galaxy
Baba uko deep sana
 
MAGO

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
1,029
Points
2,000
MAGO

MAGO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
1,029 2,000
mkuu fuatilia ile habari ya black space images zilizotolewa jana kuna maelezo pia ya mambo ya relativity nilisoma zaidi ya mara 5 niliambulia kitu kidogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
169
Points
500
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined Jan 14, 2019
169 500
Bora hata wewe mtoa mada umekiri kutoelewa. Mimi binafsi nimeelewa ila kuelezea simply sasa ndo kazi.
Jaribu kuangalia movie ya Interstellar kwa umakini mkubwa utapata mwanga kidogo.
Pia jaribu kupitia youtube kuna informative videos nyingi zipo simple na zinatumia animation.
 
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
169
Points
500
Wordsworth

Wordsworth

Senior Member
Joined Jan 14, 2019
169 500
Relativity theories hasa inaongelea maswala ya time travel kwenye space ni kwamba kunauwezekana wakusafiri au kufika mahali ambapo kwa speed ya vyombo vya kawaida kama rocket ni ngumu sana kufika huko kutokana na speed yake. Kwa mfano hii galaxy yetu ya milk way hipo karibu sana na dunia lakini kuna galaxy kama Andromeda Galaxy ambayo ipo mbali sana na dunia lakini pia ndo galaxy ambayo ipo karibu na milk way galaxy nyota ambazo zipo kwenye Andromeda Galaxy zinatumia 2.537 million years mwanga wake kufika duniani kwaiyo ningumu sana mwanga wake kufika duniani sasa hiyo relativity theories inajaribu ku calculate kitu ambacho kitakuwa na uwezo wa kusafiri kwa speed kama mwanga au zaidi ili kuweza kufika maeneo ambayo yapo mbali zaidi na dunia yetu hii kama kwenye Andromeda Galaxy
Kuna amri ya kumi na moja inasema
"Thou shalt not travel faster than the speed of light."
Yaani kwa ufupi hakuna chochote kwenye universe kinachoweza kusafiri fasta zaidi ya mwanga. Ikiwemo miili yetu ambayo ita haribika.
Hiyo option haipo.
Iliyopo ni kubend space time kutengeneza wormhole huko baadaye.
 
Forum statistics

Threads 1,284,337
Members 494,038
Posts 30,821,664
Top