Einstein na Wakati

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Albert Einstein alisema upo wakati kama unavyopimwa na saa, yaani wakati wa nukta, dakika,n.k.

Hiyo ni aina moja ya wakati. Aina nyingine ya wakati ni kwamba wakati ni perception ya akili; hisia,kwamba kama kuna mateso, utahisi wakati unaenda polepole: kama kuna raha utahisi wamato unaenda mbio.

Akasema Einstein, kwamba spidi ya chombo ikiwa kubwa,saa ikiwepo ndani ya kile chombo,itapunguza kasi yake.
Na hii ilithibishwa baadaye, baada ya Einstein kufa. Saa iliwekwa ndani ya ndege ya Boeing, na moja ikawekwa chin. Ili ndege ya Boeing ikazunguka dunia, ilivyorudi, saa yake ilikuwa a bit slower,kulinganisha na ile ya ardhini.

Lakini Einstein ameiita time,a form of percption. What else do we know about perception? Touch ni percrption, unagusa kitu na mkono kujua texture yake,surface yake iko vipi.

Ukitembea,hiyo ni propulsion,hiyo ni perception. Tasting with the tongue ni perception.

Halafu zinabakia perception mbili; organ of excretion,na organ of generation.

Kwa hiyo,kwenye,tuongeze perception ya sita,perception of time.

Kwa hiyo tutakuwa na perception sita badala ya tano.

Vitu duniani vipo katika dimension tatu; length, width, breath, urefu upana na unene. Lakini unaweza ukaongezea dimension ya nne pale,ukauliza,hiki kitu kitadumu muda gani?

Kwa hiyo sasa tunasema time is the fourth dimension. Na sasa tumeamua perception zetu zipo sita,siyo tano tena. Sasa tinaongeza perception nyingine katika consciousnesd yetu,nayo itakuwa perception of time. Asante Einstein.
 
Back
Top Bottom