Anhaa sawaaa.
Kwa maana hiyo inatembea spidi kali sana.
Sasa mfano mtu akatumia hiyo spidi kusafiri kwa mwaka mmoja ukasema kwamba atawakuta watu wameshazeeka akirudi.ina maana spidi ya hiyo kitu inaathiri vipi watu wenginee ?
Mfano rocketi ambayo inakimbia sana kule kukimbia kwake kuna athiri vipi watu ambao wako nje ya chombo hicho mkuu?
Sent using
Jamii Forums mobile app
Kwenda Kwa mtu katika relativistic speed hakumu athiri ambaye amebaki, yule aliye katika rocket anakua affected na time-dilation(kuongezeka Kwa muda) na relativistic speed
Kuna nadharia mbili zinazohusiana ndani ya theory ya relativity ya Einstein;
1. Special relativity ( spacetime)
2. General relativity(gravitation)
1. Special relativity inaelezea structure muundo wa space unavobadilika na muda (structure of the spacetime). Inasema hivi vitu vizito vinasababisha space iwe curved na chochote kitakacho tembea kwenye hiyo curve kitaangukia kuelekea kwenye center ya hiyo massive object sababu uzito wa kitu umesababisha spacetime kua kupinda na ndo kwahiyo itu vyote vitavutwa. Na kwa kawaida mwanga nao hupinda ukipita kwenye curved space time.
Ukichukua saa mbili moja duniani nyengine ikaenda karibia na speed ya mwanga huko space, saa ya space itakua inapungua speed ya kutiki mishale yake kuliko saa ya duniani kwasababu ya gravity..dunia ni massive object (lakini haiwezi kulingana na nyota) kwahiyo dunia nayo inasababisha spacetime iwe curved kwahiyo inacreate gravity ambayo inavuta vitu vyake vya karibu kuelekea kwake.
Swali lako.
Chukulia rocket inaenda na nusu ya speed ya mwanga technically tunategemea relative speed Kati ya rocket na mwanga iwe 1.5 i.e (3-1.5=1.5*10^8) lakini sivyo, speed ya mwanga inabakia constant kinachofanhika nikwamba time inabidi i slow down ku keep constant speed ku cover umbali Sawa. Kipindi inakeep speed constant, gravity inakua kubwa sababu kwenye universe kuna massive object kubwa mara million ya dunia e.g black holes, stars etc kwahiyo kilakitu karibu kitakua slowed down, astronaut atakua affected na hii force ambayo actually ni acceleration kwahiyo moyo wake utakua affected Kwa ku slow down evry activity katika mwili wake inacho sababisha ukuaji.
Hii ni just 0.05% ya knowledge ya Einstein relativity mkuu.
