Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea

Einstein theories of relativity..Mambo magumu kuelezea

Ninachouliza mimi ni kwamba unatumia kifaa gani ambacho kitaweza kuibadili tanzania nzima iwe ya miaka ya 60 na watu wakwa wa miaka ya 60?

Kuna kifaa ambacho kinaweza kuathiri na kurudisha nyuma maisha ya watu au ni mtu mmoja tu anakuwa yupo na fikra zake kama anaota ndoto mkuu?
Kwa mfano unarudi back to Tanganyika Ile siku ya 09/12/1961 uwanja wa uhuru, unashuhudia nchi ikipata uhuru.
Hiyo ndiyo back time travel, japo shuhuda nyingi zimekuwa ni zile za foward time travel

Sent using Nokia 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda Kwa mtu katika relativistic speed hakumu athiri ambaye amebaki, yule aliye katika rocket anakua affected na time-dilation(kuongezeka Kwa muda) na relativistic speed

Kuna nadharia mbili zinazohusiana ndani ya theory ya relativity ya Einstein;
1. Special relativity ( spacetime)
2. General relativity(gravitation)

1. Special relativity inaelezea structure muundo wa space unavobadilika na muda (structure of the spacetime). Inasema hivi vitu vizito vinasababisha space iwe curved na chochote kitakacho tembea kwenye hiyo curve kitaangukia kuelekea kwenye center ya hiyo massive object sababu uzito wa kitu umesababisha spacetime kua kupinda na ndo kwahiyo itu vyote vitavutwa. Na kwa kawaida mwanga nao hupinda ukipita kwenye curved space time.

Ukichukua saa mbili moja duniani nyengine ikaenda karibia na speed ya mwanga huko space, saa ya space itakua inapungua speed ya kutiki mishale yake kuliko saa ya duniani kwasababu ya gravity..dunia ni massive object (lakini haiwezi kulingana na nyota) kwahiyo dunia nayo inasababisha spacetime iwe curved kwahiyo inacreate gravity ambayo inavuta vitu vyake vya karibu kuelekea kwake.

Swali lako.
Chukulia rocket inaenda na nusu ya speed ya mwanga technically tunategemea relative speed Kati ya rocket na mwanga iwe 1.5 i.e (3-1.5=1.5*10^8) lakini sivyo, speed ya mwanga inabakia constant kinachofanhika nikwamba time inabidi i slow down ku keep constant speed ku cover umbali Sawa. Kipindi inakeep speed constant, gravity inakua kubwa sababu kwenye universe kuna massive object kubwa mara million ya dunia e.g black holes, stars etc kwahiyo kilakitu karibu kitakua slowed down, astronaut atakua affected na hii force ambayo actually ni acceleration kwahiyo moyo wake utakua affected Kwa ku slow down evry activity katika mwili wake inacho sababisha ukuaji.

Hii ni just 0.05% ya knowledge ya Einstein relativity mkuu.View attachment 1071074
Umeelezea vizuri ila nahisi sijaelewa kwa sababu ya ufinyu wangu kwenye physikia ila acha niendelee kuuliza kwanza kwa namna ingine.

Hicho kifaa ambacho kitakuwa kinaenda kwa spidi kali una maanisha kitaenda nje ya dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mitaala ya elimu ya kitanzania ipo limited sana. unaweza ukarudi darasani ukapoteza miaka kibao na usiweze kuelewa.

baadhi ya maarifa unaweza kuyapata nje ya mfumo rasmi wa kielimu.sio lazima kurudi shule.
 
Ili kilakitu kibadilike physically inahitajika uwe katika universe ambayo gravity yake ni kubwa kiasi kwamba time ina slow down and every point reverses back in its frame of reference i.e Yani kila point inarudi nyuma according kutokana na gravity ni kubwa halafu speed ndani ya universe hiyo ni kubwa Sawa au zaidi ya mwanga.. going back in time in Special Theory of relativity

Contrary na anaye enda angani na rocket inayoenda na relativistic speed akitumia mwaka mmoja tu angani akirudi anakuta watu wamezeeka miongo kadhaa imepita wakati yeye ameongezeka mwaka mmoja tu

Wormhole ni fabric perception ya space yenye point mbili zinazotofautiana energy/mass. Yani point moja in density kubwa na positive energy, point nyinhine ina density kubwa pia lakini negative energy ukiziunganisha hizi unaweza kuunda point ambayo ina gravity kubwa ambamo time ina slow down na unaeza go back in time.

Kwa aliye itengeneza hii say 1960, akaoa akazaa watoto akafa mwaka 1995, mtoto wake akazaa watoto na 2020 mjukuu akiingia kwenye wormhole na relativistic speed anaeza mkuta babu yake hajafa na kijana kumzidi. Kwa mtu wa miaka 10, kwenda nyuma miaka 20 ni anaishia 2009 ashakua empty ukifuata logic yako ya kua mtoto mkuu.
Kwa hiyo mkuu unamaanisha ukiwa kwenye black hole unaweza kutravel back in time?
 
Hutakaa uelewe mkuu especially ukizingatia ulikimbia shule!
Ninachouliza mimi ni kwamba unatumia kifaa gani ambacho kitaweza kuibadili tanzania nzima iwe ya miaka ya 60 na watu wakwa wa miaka ya 60?

Kuna kifaa ambacho kinaweza kuathiri na kurudisha nyuma maisha ya watu au ni mtu mmoja tu anakuwa yupo na fikra zake kama anaota ndoto mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelezea vizuri ila nahisi sijaelewa kwa sababu ya ufinyu wangu kwenye physikia ila acha niendelee kuuliza kwanza kwa namna ingine.

Hicho kifaa ambacho kitakuwa kinaenda kwa spidi kali una maanisha kitaenda nje ya dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam mkuu!

Light year (ly) ni system ya kinajimu ya kupima umbali ambao mwanga unatembea Kwa mwaka. Mwanga unatembea na speed ya meters million 300 Kwa sekunde. Umbali wa kutoka duniani mpaka kwenye jua ni 149.6milioni za kilometers. Kwamaana hiyo kama mwanga ulitokea duniani ukasafiri Kwa muda wa mwaka mmoja wa duniani utakua umetembea umbali wa zaidi ya 9.5*10^12 km Kwa mwaka sawa na mara 63,502 ya umbali wa kwenda kwenye jua na kurudi.

Ukienda kwa speed ya mwanga unaweza kuizunguka dunia mara 7.5 Kwa sekunde, mwaga wa jua hufika duniani Kwa sekunde 8 kwahiyo mkuu nazani haifiki hata sekunde moja mwanga unakua haupo ndani ya dunia na unakua umepita hata sayari kadhaa
 
Nyie watu haya ni mambo mazito sana mnayochangia, lazima mtakua wazungu, watanzania kweli wanaweza wakawa wanawaza mambo makubwa namna hii alafu hatuwezi kutengeneza toothpick za kwetu?
 
Ninachouliza mimi ni kwamba unatumia kifaa gani ambacho kitaweza kuibadili tanzania nzima iwe ya miaka ya 60 na watu wakwa wa miaka ya 60?

Kuna kifaa ambacho kinaweza kuathiri na kurudisha nyuma maisha ya watu au ni mtu mmoja tu anakuwa yupo na fikra zake kama anaota ndoto mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Practically haiwezekani universe kurudi nyuma, ila theoretically in a layman explanation, unaweza kutengeneza time machine au system ukaingia humo ukaishi na ukarudi nyuma in time lakini ila ukitengeneza saiv huwezi kurudi utahitaji infinity energy kucreate hiyo system maana inabidi uwe unaenda zaidi ya speed ya mwanga ambapo utakua umeviolet quantum mechanics na relativity sababu kitu kinacho karibia mwanga mass yake huongezeka hivo kinakua kizito na gravity inakua kubwa...na ukifikia au kuzidi speed ya mwanga relativity ya Einstein inakua invalid tunaisahau unaunda branch ya physics yako mpya ambayo sio relativity tena nahisi itakua Variant infinity theory..au Newton theory inakua universally non doubted tena na nazani Tesla Dynamic theory of gravity, aether theory inakua valid pia..mkuu
 
Maelezo ya kisomi zaidi na terminologues zilizotumika za kisomi nimepata machache achs niulize tena.

Kwa maana ya kwamba kuishi miaka nyuma hili jambo unaingia kwenye mashine flani na sio katika ulimwengu?kama ni hivyo niendelee kuuliza tena hapa chini..

Sasa hii haiwi kama zile game ambazo mtu anaingia kwenye mashine anajiona kama yupo sehemu tofauti na kuanza kuona mandhari tofauti tofauti mkuu?

Na jee ukiingia humo katika hiyo machine kunakuwa na screen ama ni giza tu?
Yanatisha hayo mana nikiuliza mengi ntajichanganya mada ngumu hii nauliza polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nimeuliza kuhusu blackhole na siyo wormhole!
Hapana mkuu blackhole haiusiani na maswala ya back in time Bali ni wormhole ndo inahusika

Baada ya nyota kuishi muda Fulani na kufa inavunjikavunjika na mass yake kucollapse kabisa Ile sehemu ya spacetime ambapo mass ya nyota imecollapse inaunda gravity kubwa ambalo katikati yake panakua na shimo ndo blackhole hiyo..mass ya black hole inaweza kua kubwa hata mara million ya mass ya jua sababu chochote kinachopita karibu na blackhole kinavutwa hata kiwe vipi na black hole huongezeka mass Kwa kuvuta vitu, mwanga ukiingia black hole hauwezi kurudi sababubya gravity yake ni kubwa Sana inadeform space 220px-BlackHole_Lensing.gif
 
labda umeshindwa kuelewa kwamba sisi tupo nje ya dunia na sayari ya dunia haipo ndani ya galaxy yoyote ile bali milk way galaxy ndo galaxy ambayo inaonekana kwa ukaribu katika sayari ya dunia na hiyo milk way galaxy ndo galaxy ambayo ina contain solar system yetu kwaiyo atuwezi kusema tupo ndani ya milk way galaxy kwasababu tungekuwepo ndani ya milk way galaxy pasingekuwa na uwezekano wakuona sayari nyingine ukiwa dniani
We jamaa yani unaandika vitu usivyoelewa kabisa yani unaandika mambo ambayo huelewi kabisa kabisa. Solar system iko kwenye milky way na earth iko kwenye solar system so automamtically earth iko kwenye milky way.. Kuwa nje ya dunia hakuna uhusiano na kutokuwa au kuwa kwenye milky way. Ebu kasome kuliko kuandika haya unayoandika
 
Back
Top Bottom