Eid Mubarak wote

Eid Mubarak wote

Wasaalam rafiki yetu....

Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,

Tunawatakia Eid Mubarak.....

Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Asante

Ila tuagizie hata k vant mama ili Eid ikae sawa sio unakula peke yako
 
Wasaalam rafiki yetu....

Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,

Tunawatakia Eid Mubarak.....

Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Pole kwa kukosa mwaliko mheshmiwa. Tunasubir Kwa moyo mmoja mwaliko wako wa Pasaka 🙏🏾
 
Nahisi ni kutofuatilia siasa
Siku zote najua huyu member ana undugu na Gwajima yule pasta sijui

Pole Ngoja nikusaidie kama sitokuwa sawa Nitakosolewa.

1. Huyu Mama ni waziri alikuwa Afya Sasa ni Maendeleo ya Jamii ni Daktari MD( wa hospital)
Mbunge wa kuteuliwa wa JPM.

2. Mume wake ni Mwana sheria Advocate Gwajima. Ni Kaka wa Askofu Josephat Gwajima mbunge wa Jimbo la kawe.

3. Hawa wako poa sana ni Moja kati ya Cople bora sana kwa nje ila ya ndani siyajui.

Mama Naomba Msaada Ile ishu ya Dokta Donard Mbando.
 
Asante mkuu kwa maelezo
Hata huyu waziri mwenyewe imebidi nimgoogle sasa hivi ili nimuone sura yake vizuri kwasababu huwa namsikia mara chache hapa jukwaani...huku duniani sijawahi kuwa circle inayomuongelea kabisa,nafikiri ndio maana simjui
 
Mama kwa jinsi tunavyokukubali tulitegemea ungetualika nyumbani kwako tujumuike pamoja kula sikukuu ya mtume wetu, huku tukitafakari mustakabali mzima wa jamii yetu na hawa kataa ndoa..!!

Kwahiyo mpo beach na baba? 😜
Kataa ndoa wameingiaje hapa
 
Pole Ngoja nikusaidie kama sitokuwa sawa Nitakosolewa.

1. Huyu Mama ni waziri alikuwa Afya Sasa ni Maendeleo ya Jamii ni Daktari MD( wa hospital)
Mbunge wa kuteuliwa wa JPM.

2. Mume wake ni Mwana sheria Advocate Gwajima. Ni Kaka wa Askofu Josephat Gwajima mbunge wa Jimbo la kawe.

3. Hawa wako poa sana ni Moja kati ya Cople bora sana kwa nje ila ya ndani siyajui.

Mama Naomba Msaada Ile ishu ya Dokta Donard Mbando.
Hujambo? Ishu gani tena? Njoo sms 0765345777 unipe kwa ufupi maana sijakumbuka tafadhali
 
I dare say, this mama can make a good president! Mu anasikiliza na ku dgest issues...
 
Sasa Baraza la tiba asili lilikuwa na kazi Gani kwani jamani.... Mwenyekiti ni professor anateuliwa na Rais na wajumbe wasomi kabisa na Sasa wameteuliwa tena na ni kwa mujibu wa sheria na sawa zilikuwa zinasaidia tu kama panado inavyosaidia haiponyi na zimesajiliwa na Baraza kupitia kwa mkemia mkuu wa serikali.... Sasa hapo ni uelewa au basi tu kisa mimi...
Yashapita tumekusamehe tugange yajayo..!!
 
Back
Top Bottom