Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,436
- 50,163
Sikukuu njema kwako na familia pia Dr.Wasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoniš„°, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 𤣠Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
View attachment 3290043