Eid Mubarak wana chit chat woote!

Eid Mubarak wana chit chat woote!

Eid mubarak nawe, tena leo Mwenyezi Mungu kaamua kutuonesha kuwa wote twamwabudu yeye, mana waislam, wakristo wote wamesali leo.
 
Hayahaya wajameni kimeeleweka sasa

Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia ndugu zangu Waislam Eid Mubarak na kuwapongeza wote waliofunga.

Nianze na shemeji yangu Roulette, sweetlo gfsonwin na niece wangu Mwali. Salam za Eid ziwafikie pia babu Asprin na wakeze BADILI TABIA Yummy cacico chini ya uangalizi wa Kongosho.
Eei mubarak my wife wangu AshaDii na wa siri wangu mkuu mwaJ popote ulipo.

Japo charminglady kaaga namtakia mkono wa iddi pamoja na wakati ndio sasa. Judgement na baby nasty, mtu chake [MENTION=10188]TANMO[/@eickb52 wakiwa na preta fungateni, pia namtakia heri Remmy na kumsihi abadili mawazo

Wengineo ni Neiwa, BAGAH, ummu kulthum, mwalimu wangu Madame B na ruttashobolwa, MtotoSix Mtoboasiri na wanachit chat woote

Ujumbe tusherekee kwa amani

mwaJ nakuja nipo morgoro sasa kila ulichoagiza utakipata

Toa Asprin yeye ni mtoto wa padre.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer nahisi nimechelewa pilau... kuna akiba imebaki kweli?
 
Last edited by a moderator:
sita shwari ndio nini Ummu? kwani hairuhusiwi kula sana?

baada ya ramadhani kuna kufunga tena, yaan unafunga siku sita baada ya siku ya iddi mosi ikipita iddi pili unafunga mpaka siku sita zipite,unashauriwa kula kwa kiasi kwa kuwa unaweza ukavimbiwa,tumbo kuuma na nk na sababu zikakufanya usifunge.sita ni sunna kwa hiyo sio lazima kufunga kwani ukifunga unapata thawabu usipofunga hupati dhambi.
 
Hahahaaaa kwanza nimegundua PakaJimmy ananizunguka kwa Preta lol
Ngoja nifanye mpango wa kuswitch kwa kitu kipya....!
Msalimie sana kichanga wetu aisee...najua una raha sana hapo ulipo!

Asante sana Erickb52
Sikukuu imeisha tuanze kuchapa kazi sasa aise Yummy nasikia alionekana pande za mbauda akila ugali na mlenda sikukuu yote hii cacico nae akaonekana pande za kisongo akibugia mbege gfsonwin huyu nasikia alikuw apande za unga lelo akikaanga samaki BADILI TABIA nasikia yeye ilikuwa super kwake maana akilikuwa pande za Kibo Palace Hotel akikata mvinyo na pedeshee sijui ni Bishanga au Asprin
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Erickb52
Sikukuu imeisha tuanze kuchapa kazi sasa aise Yummy nasikia alionekana pande za mbauda akila ugali na mlenda sikukuu yote hii cacico nae akaonekana pande za kisongo akibugia mbege gfsonwin huyu nasikia alikuw apande za unga lelo akikaanga samaki BADILI TABIA nasikia yeye ilikuwa super kwake maana akilikuwa pande za Kibo Palace Hotel akikata mvinyo na pedeshee sijui ni Bishanga au Asprin
unakichanga halafu mimi shangazi sijui lol! sasa wafikiri nywele atamyoa nani jamani?
 
thanx my shemeji Kaizer! lolest! nilikuaje mtoto mwema sasa??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom