Eid Mubarak wana chit chat woote!

Hommie Asprin hebu nitafutie kwanza wa siri wangu mwaJ ndo siku itakaa vizuri (usiulize ni lini)
Inaelekea wasiri wako mwaJ kadondoka kwa ruttashobolwa. Juzi nliwafumania wakidansi na mapacha watatu. Umenionea wapi cacico?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
tena ujiamini haswa! huu mzigo wako peke yako, unakula peke yako, ebo! wengine wasindikizaji tu, wakifika mizani wanashuka, mzigo unapima mwenyewe ebo! mi luv u hubby! mwahhhhh, yako umeidakia wapi hii?
Khaaaa! Unaulizia nywele saluni? Kwenye kipara changu kama kawa LOL
 
tena ujiamini haswa! huu mzigo wako peke yako, unakula peke yako, ebo! wengine wasindikizaji tu, wakifika mizani wanashuka, mzigo unapima mwenyewe ebo! mi luv u hubby! mwahhhhh, yako umeidakia wapi hii?

wengine kwen mizani hatushuki, tuna adhust tu, ikipimwa mbele, tunarudi nyuma, mzani unasoma poaaaaaaaaaaaaa! Ikipimwa nyuma, siye haooo mbele kwa raha zetu, mzani unasoma poa....konda anaruhusu liende! chezeya! haa shemeji cacico wanipa rahaje sasa? Mwaaah
 
Hahahahaa! Hommie bana! Unang'ang'ana tu? Hamna kushuka kwenye mizani LOL

attachment.php
 
wengine kwen mizani hatushuki, tuna adhust tu, ikipimwa mbele, tunarudi nyuma, mzani unasoma poaaaaaaaaaaaaa! Ikipimwa nyuma, siye haooo mbele kwa raha zetu, mzani unasoma poa....konda anaruhusu liende! Chezeya! Haa shemeji cacico wanipa rahaje sasa? Mwaaah
tobaaaaaaa chezeiya visarata wa mtaa weye??? Kipimo mara moja, na majibu yametoka! Lol
 
Shemeji basi nichumu nikiss mwaaah unaogopa nini jamani? Mke karudi sawa, my sweetlo gfsonwin naye yupo kwa sana, na wa siri wangu mwaJ. sasa tabu iko wapi shemeji yangu mpenzi? come zis way cacico! mwaaah
Kaizer wa siri wangu, mambo gani tena hayo ya kuita wake za wenzio pembeni? Shauri yako hiyo siri mie wala sitakufichia!
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea wasiri wako mwaJ kadondoka kwa ruttashobolwa. Juzi nliwafumania wakidansi na mapacha watatu. Umenionea wapi cacico?

attachment.php

Khaaaaa! Asprin jamani taratibu, huo ni uvunjifu wa amani katika familia za watu! Inahusu nini kutuanika hivyo hata kama umenibamba? Sasa hivi niko busy namtumikia mkoloni wangu, subiri hali itulie nakutafutia kundi maalum tukusute sawa sawa!
 
Last edited by a moderator:
Nimeonewa sana,
Nimedhalilishwa sana,
Nimesikitishwa sana
Nimefadhaishwa sana na kauli hizi!
Nadhani shida ni cheo changu cha Uenyekiti wa kamati ya maadalizi!..Kama hiyo ndiyo shida, basi chukueni tu!
PakaJimmy una kashfa aisee jitahidi kuifuta mapema!
Lol kwanza wife Preta simuoni na nasikia yuko kwako!
Mh inaniuma sana hata honeymoon bado haijaanza keshaanza usaliti tutawezana kweli?
 
Last edited by a moderator:
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom