Eid Mubarak wana chit chat woote!

Eid Mubarak!

Nawapongeza mliofuata mfungo wenu religiously, it's not a joke kwa kweli.

Am happy for you kwa kujitoa kiasi hicho.

(nialikeni basi Roulette?)

Kaizer asante, ila sijui kujibu nitaharibu lugha.

Wewe una haja ya kukaribiswa? Si unaingua tuu moja kwa moj mpak jikoni. Tena njoo na The Boss
 
Last edited by a moderator:
Nimelipata toto la kutoka nalo weekend hii, thanks 2 all guys who help me kulitongoza.
Nashukuru kwa wote wanaofanya idadi ya holidays kuwa nying kwa sabb bila hao nadhani nisingepata ruhusa kazini wala mapumziko ya aina yoyote yale.
 
Haya mwaJ safari hii ni ya kwako wa siri wangu. Hivi usheanda kucheki na fundi ameahakushonea kivazi?

Haaaa! Nani akashone? Hata ungeniambia nikashone kwa Ally Remtulla nisingekubali! Sitaki pressure ya kuharibiwa nguo mie. Hapa nilipo nishatoka kununua ready made yangu ya nguvu!
 
Wowww! Minal faidhina ukisikia kimya ujue sina! Kwa sababu sija kaa kimya basi mimi na baby wangu Madame B tuna watakia wote Eid njema, Eid yenye baraka, Eid yenye amani na chachu ya upendo.

Tusisahau majukumu yetu.
 
Min-al-faidhiina, ukiona kimya ujue sina, na
nikikupa basi nimefikiria kwakina...kwa hisani ya Mtalingolo

kaka Kaizer na ww pia nikutakie eid njema...
kunywa kwa uangalifu, pombe sio chai.
 
Last edited by a moderator:
Mina'l faidhina kiongozi KAIZER mi nnachinja usiku huu huu !
Kesho ibaki agenda ya kukaanga tu !
 
Min-al-faidhiina, ukiona kimya ujue sina, na
nikikupa basi nimefikiria kwakina...kwa hisani ya Mtalingolo

kaka Kaizer na ww pia nikutakie eid njema...
kunywa kwa uangalifu, pombe sio chai.

BAGAH pombe kwetu tumezaliwa
Nazo mdogo wangu.....
 
Last edited by a moderator:
Haaaa! Nani akashone? Hata ungeniambia nikashone kwa Ally Remtulla nisingekubali! Sitaki pressure ya kuharibiwa nguo mie. Hapa nilipo nishatoka kununua ready made yangu ya nguvu!

Kama nakuona mwaJ. Limekufit vizuri eeh lol
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwanafunzi wangu Kaizer,
EID MUBARAK na wewe,
Karibu nyumbani kwetu tumewaandalieni wewe na gfsonwin pilau la nguvu,
ruttashobolwa anakusalimu.
 
Eid Mfaidhina!
Ila ukiona kimya ujue hakuna kitu huku pande yetu!

Back
Top Bottom