Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,329 Reaction score 17,855 Aug 21, 2012 Thread starter #121 mwaJ said: Kaizer wa siri wangu, mambo gani tena hayo ya kuita wake za wenzio pembeni? Shauri yako hiyo siri mie wala sitakufichia! Click to expand... mwaJ nimekumiss wa siri wangu.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mwaJ said: Kaizer wa siri wangu, mambo gani tena hayo ya kuita wake za wenzio pembeni? Shauri yako hiyo siri mie wala sitakufichia! Click to expand... mwaJ nimekumiss wa siri wangu....
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Aug 21, 2012 #122 Kaizer said: mwaJ nimekumiss wa siri wangu.... Click to expand... Nipo wa siri ila nilikuwa busy namsaidia mkoloni wangu kusukuma gurudumu la maendeleo.
Kaizer said: mwaJ nimekumiss wa siri wangu.... Click to expand... Nipo wa siri ila nilikuwa busy namsaidia mkoloni wangu kusukuma gurudumu la maendeleo.
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,329 Reaction score 17,855 Aug 21, 2012 Thread starter #123 mwaJ said: Nipo wa siri ila nilikuwa busy namsaidia mkoloni wangu kusukuma gurudumu la maendeleo. Click to expand... Ndo nikashangaa sikuoni mwaJ jamani mkoloni ana tabia mbaya Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mwaJ said: Nipo wa siri ila nilikuwa busy namsaidia mkoloni wangu kusukuma gurudumu la maendeleo. Click to expand... Ndo nikashangaa sikuoni mwaJ jamani mkoloni ana tabia mbaya