Eid Mubarak wana chit chat woote!

Eid Mubarak wana chit chat woote!

Msaada wa maana ya maneno haya na matumizi. Sipati jawabu kamili google.

-minal aidina
-minal faidhina
-minal aidin wal faizin
Na tanguliza ahsante
 
Jamani mwanafunzi wangu Kaizer,
EID MUBARAK na wewe,
Karibu nyumbani kwetu tumewaandalieni wewe na gfsonwin pilau la nguvu,
ruttashobolwa anakusalimu.

Sante mwalimu wangu Madame B
 
Last edited by a moderator:
Najua PakaJimmy Hana mtu, nimemuuliza hajanijibu, hata hii sikukuu naiona chungu.

Remmy PakaJimmy ana kashfa nzito ya kufungisha ndoa bila ridhaa ya wanandoa sasa wewe so atakuoa bila hata pilau?
 
Last edited by a moderator:
Nimelipata toto la kutoka nalo weekend hii, thanks 2 all guys who help me kulitongoza.
Nashukuru kwa wote wanaofanya idadi ya holidays kuwa nying kwa sabb bila hao nadhani nisingepata ruhusa kazini wala mapumziko ya aina yoyote yale.

Toto ni la hapa hapa jf?
 
Hayahaya wajameni kimeeleweka sasa

Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia ndugu zangu Waislam Eid Mubarak na kuwapongeza wote waliofunga.

Nianze na shemeji yangu Roulette, sweetlo gfsonwin na niece wangu Mwali. Salam za Eid ziwafikie pia babu Asprin na wakeze BADILI TABIA Yummy cacico chini ya uangalizi wa Kongosho.
Eei mubarak my wife wangu AshaDii na wa siri wangu mkuu mwaJ popote ulipo.

Japo charminglady kaaga namtakia mkono wa iddi pamoja na wakati ndio sasa. Judgement na baby nasty, mtu chake TANMO[/@eickb52 wakiwa na preta fungateni, pia namtakia heri Remmy na kumsihi abadili mawazo

Wengineo ni Neiwa, BAGAH, ummu kulthum, mwalimu wangu Madame B na ruttashobolwa, MtotoSix Mtoboasiri na wanachit chat woote

Ujumbe tusherekee kwa amani

mwaJ nakuja nipo morgoro sasa kila ulichoagiza utakipata
Kaizer leo najiandaa kuunga Jungu lililovunjika kabla ya mfungo!
Narudi baadae kidogo
 
Last edited by a moderator:
Kaizer umenisahau kwenye mnuso
Min -al-faidhina mkuu Kaizer
Karibu pilau hapa mtaa wa kwa mrombo hapa arusha

Mkuu Mr Rocky ni kama jiwe linaloishi wewe ni eis mubarak tu hakuna kuremba aisee! Mi nipo
Na mwaJ ndo nimetoka mpakani maana mkubwa kasema vita hakuna. mwaJ ananiandalia ma diet ya nguvu hapa. Karibi sana kiongozi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mr Rocky ni kama jiwe linaloishi wewe ni eis mubarak tu hakuna kuremba aisee! Mi nipo
Na mwaJ ndo nimetoka mpakani maana mkubwa kasema vita hakuna. mwaJ ananiandalia ma diet ya nguvu hapa. Karibi sana kiongozi

Kaizer huku pilau linakaribia kuingia mezani aise
Yummy kaniangusha eti leo tumbo lake halitaki pilau
Erickb52 kapigwa chini na wake zake wote kaamua aokoke aise so sikukuu atakuwa amekaa tuu nyumbani @
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 nipo aise si unajua nakula piau na kachanga kangu leo
Kameamka eti nako kanataka pilau la eid
PakaJimmy siku hizi kawa bidhaa adimu kama sukari ya tanzania
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 nipo aise si unajua nakula piau na kachanga kangu leo
Kameamka eti nako kanataka pilau la eid
PakaJimmy siku hizi kawa bidhaa adimu kama sukari ya tanzania
Hahahaaaa kwanza nimegundua PakaJimmy ananizunguka kwa Preta lol
Ngoja nifanye mpango wa kuswitch kwa kitu kipya....!
Msalimie sana kichanga wetu aisee...najua una raha sana hapo ulipo!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa kwanza nimegundua PakaJimmy ananizunguka kwa Preta lol
Ngoja nifanye mpango wa kuswitch kwa kitu kipya....!
Msalimie sana kichanga wetu aisee...najua una raha sana hapo ulipo!

Changanya na zako dogo! Ohoo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom