Fungueni kwa kuonekana mwezi na Fungueni kwa kuonekaana mwezi, ukisema kuuona maana yake kipofu hawezi kufunga wala kufunguaFungueni kwa kuona mwezi, nyie mmeona mwezi au mmepewa taarifa, kwanini mnatumia vyombo vya habari kusikia kuhusu mwezi ulioandama nchi tofauti na yako?
Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.
Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)
Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..
Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Ili wikiend iwe ndefu, au sioIdd Mubarak tangulia sheikh sisi tutaswali Jumatatu inshaallah
AstaghafirullahNina demu kaninyima kisa Ramadhani.
Ngoja nimtumie ya Abaya na kukumbushia ahadi yetu.
Eid Mubarak.
تقبل الله من ومنكمEid Mubarak wote ambao kesho mnafungua
Lugha ya peponi🙏🙏تقبل الله من ومنكم
HahahahaCCM kwani wameridhia!??
Shekhe Ramadhan MubarakWaislamu wenzetu mnao sheherekea eid kesho,tuna watakia sikukuu njema
Eid Mubarak
kwanini uonekane mkubwa na leo umeonekana nch 3 tu Qatar, UAE na Saudi hizi nchi nyingine kwa nini haujaonekana? na kwanini ukionekana nchi izo ambazo leo haujaonekana kwanini uonekane mkubwa?bila shaka idd ni jumatatu.kesho lazma mwezi utaonekana mkubwa