eFootball Special Thread

😂nimetoka niji tafakari kwanza maana sijaamini kabisa
 
Mishale inabidi iweje me uwa si izingatii

Mishale ikiwa hivyo kama hapo kwenye picha fanya sub kabla hujaenda uwanjani, tafuta mchezaji ambae walau mshale wake ni kijani kibichi.


Mshale ukiwa na kijani hii ujue hiyo ni neema kwako, hii inakuwa hivi sana kwenye friend match na hapo settings ikiwa ni excellent.

Kikosi changu hakijawahi kuwa hivyo kwenye dvn, rangi zingine sijui ndo wanaita karoti na nyekundu zikiwepo hizo usipeleke timu uwanjani 😂.
 
Mwanaume kupambana unaachaje kupeleka team uwanjani
 
Unakotoka mie ndo nakoenda, kuna baadhi ya mechi sasahivi kwenye dvn situmii ultra defensive na matokeo napata.
 
In summary hizi ni condition za mchezaji kwa mechi husika... Ambao huwa ni Random kwa kila mechi japo kwenye friend match kuna option ya kuchagua condition iweje unaona mfano hapo juu wachezaji wote wana condition sawaa hiyo ni friend match...


Condition kuna Excellent ambao huwa ni mshale umeeleka juu refer picha ya pili iliyotumwa...

Then kuna Good ambayo huwa ni mshale ambao upo kwenye saa nane

Then kuna Normal ambao umelala ulalo.. kama picha ya kwanza hapo juu...

Baada ya happ kuna Bad ambapo mshare unalala chini kama kwenye saa kumi hivi kwenye saa alafu kuna terrible ambapo unakiwa umeangalia chini kabisa ..

Mchezaji akiwa na hizo mbili za mwisho toa usimpange
 
Umeeleza vyema, chukua chaki ingia darasani 😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…