eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Tangu update hili game limekua geni tumeanza kujifunza upya.

Legend AI kabla ya update nilikua nawafunga mpaka goli 6 ila sasa hivi wingers wao hawakabiki😃

Nimekwama kwenye rating 1600's vs AI sipandi sishuki 😭
Na ukienda PvP sasa unakutana na wengi wanatumia QC.
 
😅😅nimeingia dvn 3
jamaa atakua kaumia sana uko aliko zime ongezwa 5 akaweka full dk ya 94 nika mchapa counter
 
Attachments

  • Screenshot_20250503_223235_eFootball.jpg
    Screenshot_20250503_223235_eFootball.jpg
    618.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20250503_223439_eFootball.jpg
    Screenshot_20250503_223439_eFootball.jpg
    179.4 KB · Views: 7
Selikavu 😅😅mzee nipe izo instructions na booster zake
Kaka ukwel nimeamua kutumia smart assist ya Razorblade ameninyanyasa mno nikaona imetosha acha niwashe tuu...

Me ni mbovu kwenye direction na kutoa pasi... Sasa yenyewe imekuja imenitibia hvyo kwa hiyo mambo ndo yapo hivi saiv...

Sema umetoka nilitaka game ya tatu nizime nicheze bila smart assist... Maana nimeona sijafanya fair...
 
unacheza kama una 3170 😂😂kuna mwamba nili kutana nae ana 3174 ugusi mpira yuko speed kila unapo peleka yupo.
 
Back
Top Bottom