NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,802
- 4,391
Wewe si unanunuašNipe mimi nikushushe mpka division ya 9 kakaš¤£š¤£š¤£ukute na wachezaji wa 0 Gp team nzima
Wewe si unanunuašNipe mimi nikushushe mpka division ya 9 kakaš¤£š¤£š¤£ukute na wachezaji wa 0 Gp team nzima
Au unaweza kumfanyia process yote wewe usimtajie password.Basi ngoja nimtafute mtu aliyekaribu nimuachie account kwa muda.
Labda kama nimemuelewa vibaya...Wewe si unanunuaš
WW3 š.Nipe mimi nikushushe mpka division ya 9 kakaš¤£š¤£š¤£ukute na wachezaji wa 0 Gp team nzima
Poa mkuu.Aah ukikosa mtu wa kumuachia utanicheki...
Lakini nashangaa anapigwa na Razorblade dunia ina maajabu kila mtu na mbabe wake šš š uyu bwana ana piga sio poa
Nitafanya hivyo mkuu.Au unaweza kumfanyia process yote wewe usimtajie password.
Mkuu kwa niliocheza nao humu ambae sijamfunga mpaka muda huu ni wewe tu na sijui nakwama wapi, Mr Devil nilimpiga 2-0 na hakupiga shuti hata 1 š.Lakini nashangaa anapigwa na Razorblade dunia ina maajabu kila mtu na mbabe wake š
Game ya kwanza kaka ulinipiga bhanašššš š uyu bwana ana piga sio poa
Kuna siku Razorblade kanipiga sita sijui ššnashangaaa tu akienda golini kwangu goli ..Lakini nashangaa anapigwa na Razorblade dunia ina maajabu kila mtu na mbabe wake š
Matokeo mnayaacha hukohuko room au mbona hamtuletei š.Game ya kwanza kaka ulinipiga bhanaššš
Nitafute kwa muda wakošššotherwise utafungwa mpaka uhame uwanjaš¤£š¤£š¤£š¤£(Jokes)Mkuu kwa niliocheza nao humu ambae sijamfunga mpaka muda huu ni wewe tu na sijui nakwama wapi, Mr Devil nilimpiga 2-0 na hakupiga shuti hata 1 š.
Mkuu huyo NEGAN mpaka unaona namuomba anielekeze kuhusu LBC basi ujue kasheshe, hata mie nashangaa unamfunga š.Kuna siku Razorblade kanipiga sita sijui ššnashangaaa tu akienda golini kwangu goli ..
Afu nakuja humu nashangaa wewe unamfunga anaapa kulipa kisasiš¤£š¤£š¤£sasa najiuliza mechi zangu na wewe huwa unanilegezea kwa sababu ya ugen au laš¤£š¤£
šššNitaletaMatokeo mnayaacha hukohuko room au mbona hamtuletei š.