Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Nimepigwa script mkuu, nahangaika tena 😂.Umevipiga vita🤣🤩
Nimepigwa script mkuu, nahangaika tena 😂.Umevipiga vita🤣🤩
Script 🙌😃View attachment 3323598
Hatari kwa afya 😂.
Hata mimi nilianza hivyo hivyo lakini saizi kuna sehemu nimeganda sipungui siongezeki😅😅View attachment 3323598
Hatari kwa afya 😂.
Week yako hii👈Hizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Sijaamini 😃Week yako hii👈
Sigusi tena huko, kwa leo inatosha 😂Script 🙌😃
Kutoka alama 10 mpaka alama 79, ni huzuni sana 😂.Hata mimi nilianza hivyo hivyo lakini saizi kuna sehemu nimeganda sipungui siongezeki😅😅
Burudani sana, hongera.aHizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Wafanyakazi wa EfootballNimepigwa script mkuu, nahangaika tena 😂.
Komaa kaka🤣🤣🤣View attachment 3323598
Hatari kwa afya 😂.
Kwel una bahati na POTW...Hizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Nilkua namtaka sarah nme mkosa 😅😅Hizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Kugumu 😂.Komaa kaka🤣🤣🤣
Kazana kakaKugumu 😂.
Malengo yangu ni kufika dvn 1 kabla ya phase nyingine, ngoja nikaze vidole muda bado upo.Kazana kaka
Legend kwa sasa nishasema ni wafanyakazi wa Konami wanapokezana kucheza na sisiTangu update hili game limekua geni tumeanza kujifunza upya.
Legend AI kabla ya update nilikua nawafunga mpaka goli 6 ila sasa hivi wingers wao hawakabiki😃
Nimekwama kwenye rating 1600's vs AI sipandi sishuki ðŸ˜