eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nimekutana na vipigo asubuhi hii nimeshuka mpaka 1390, natamani nivute siku kadhaa ndo nirudi kucheza dvn tena.
 
Jaribu pure haram ball 523 ya 2 CF na 1 SS. Halafu beki ziwe attacking full back zinapiga cross kwa Drogba mwanzo mwisho. Yani ukiupata mpira clear kwa Drogba then Drogba ata win header halafu pass 2 hadi 3 cross kwa Drogba .
 
Na nikisema pure haram ball namaanisha niliwahi fika divison 2 na hiki kikosi
Screenshot_20250504_081124_Gallery.jpg
Screenshot_20250504_081107_Gallery.jpg
Screenshot_20250504_081050_Gallery.jpg
 
Jaribu pure haram ball 523 ya 2 CF na 1 SS. Halafu beki ziwe attacking full back zinapiga cross kwa Drogba mwanzo mwisho. Yani ukiupata mpira clear kwa Drogba then Drogba ata win header halafu pass 2 hadi 3 cross kwa Drogba .
Ngoja niruke nayo hii.
 
Hawezi haram Football huyo😃😃
 
Hivi inawezekana kumpatia mtu account bila kumpa password?
NEGAN
Haiwezekani ili account uimiliki llni lazima uwe na email na password.

Ili uweze kufanya data transfer ucheze game kwenye simu yako hatua ni hizi
Screenshot_20250504_101609_eFootball.jpg
Screenshot_20250504_101603_eFootball.jpg
Screenshot_20250504_101618_eFootball.jpg

Ili u access KONAMI ID lazima uwe na email na password ukisha log in unabadili unaweka email yako.

Kiufupi haiwezekani kutumia account ya mtu bila password ya email
 
Back
Top Bottom