eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Wakuu mna uhakika kuwa hii Efootball league Ai sio wafanyakazi wa konami wanapokezana kucheza😬😬😬

Nimesema leo nicheze nipande division 2 nimekula vipigo game zote🙌🙌🙌
Dvn unacheza ya AI ? Mbona match nyingi sanaaa kupanda
 
Oya mimi imenishinda 😃🙌
Amna kam ukutane na kikosi cha mtu ana lamine Yamal hesabu maumivu🤣🤣🤣

Hawa Ai hawafai

Sasa division 2 nitakutana na vikosi vya 3150 sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom