eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Me Barcelona kaka🤣🤣🤣 nipo nachek game hapa
Nimekuona huko ila nakulia buyu kwakuwa wewe siyo miongoni mwa wale wanaokuja kwenye uzi wetu kutupigia kelele kila tukifanya vibaya 😂.
 
Sema ungekomaa na hichi tu mkuu, tengenza chako bhana hata ikiwa kwa miaka 2 ndiyo raha yake 😂.
Daah sawaa kaka japo
images (26).jpeg
 
Back
Top Bottom