carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 654
- 1,543
Hayaa ban😀😀TONIGHT 🔥
View attachment 3321712
Hayaa ban😀😀TONIGHT 🔥
View attachment 3321712
Sijaelewa.Fantasy League naongoza kwenye crew View attachment 3321760
Aina noma me huwa nakupeleka OT 😃😃Tutakutana uwanjani, halafu uwanja wenyewe ni San siro sasa 😂.
Me naanza division soon naadhani nitaitumia mno round hiiUzuri ni kwamba hiyo siitumii zaidi ya kwenye dvn ambapo watu wanacheza tu kupata matokeo ili kupanda dvn.
Alafu ni Offensive fullback sio defensive tena😬😬😬Bado sijafanya update, ila wamenikera kounde kumuweka kwenye show time.
Huyu ata ashuke ataanza tuuMchawi booster.
Hiyo ni fantasy league ya English Premier LeagueSijaelewa.
4312 imekuaje tena? Hiyo nayo ni formation nzuriRasmi nimelud kwenye double Pivot....
NEGAN nikilud tena kule kwenye 4312 nichape makofi kaka
View attachment 3321869
Inanisumbua kwenye transition kutoka kukaba kwenda kushambulia...4312 imekuaje tena? Hiyo nayo ni formation nzuri
Dah kwa OT sikushauri, tafuta kiwanja kingine 😂.Aina noma me huwa nakupeleka OT 😃😃
Dah hawa konami jau.Alafu ni Offensive fullback sio defensive tena😬😬😬
Twende tu san siro hiyo baadaeDah kwa OT sikushauri, tafuta kiwanja kingine 😂.
Goli limewachanganya...Dah hawa konami jau.
Kabla hatujaingia uwanjani tayari umeisha 😂, nikitumia LBC kwa hizo nafasi kwenye flanks utakimbia ila QC inatosha kutumia hizo flanks 😂.Rasmi nimelud kwenye double Pivot....
NEGAN nikilud tena kule kwenye 4312 nichape makofi kaka
View attachment 3321869
Ungekomaa kumaster 4-3-1-2, night nitakufanya uachane na 4-2-2-2 😂.Inanisumbua kwenye transition kutoka kukaba kwenda kushambulia...
Naona mara nyingi messi anakuwa sehemu sio sahihi kwa hiyo napoteza mipira...
Ngoja nimaster 4222
Sawa.Twende tu san siro hiyo baadae
Unamjua lakn pedri kaka pedri Gonzalez😃😃😃Kabla hatujaingia uwanjani tayari umeisha 😂, nikitumia LBC kwa hizo nafasi kwenye flanks utakimbia ila QC inatosha kutumia hizo flanks 😂.
Nimeweka kwenye plan list nikiona game ngumu nalud kwenye 4312...Ungekomaa kumaster 4-3-1-2, night nitakufanya uachane na 4-2-2-2 😂.