Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,153
- 33,933
Leo kidogo nimecheza mpira sijabutua sana japo imenicost game ya kwanza nimetoa Boko nyingi....Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli š.
Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.
Ila hata hvyo nimejitaid kwenda na wewe leo..
Atleast nimeonesha uhai nafika golini napiga shoot