Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
😅mbona kikosi kipo sawa kabisa me na 3127 sio mbaliView attachment 3321018
Hichi hapa kikosi cha Aviator Aka mandege😃😃
😅mbona kikosi kipo sawa kabisa me na 3127 sio mbaliView attachment 3321018
Hichi hapa kikosi cha Aviator Aka mandege😃😃
Sema ungekomaa na hichi tu mkuu, tengenza chako bhana hata ikiwa kwa miaka 2 ndiyo raha yake 😂.View attachment 3321018
Hichi hapa kikosi cha Aviator Aka mandege😃😃
Hapo niombe nisipigwe script 😂.Mapema tuu😃
Hii hapa,game naongoza na dakika kama unavoona halafu simu ikaitaKuna ile situation match ime kolea afu mtu ana kupigia simu data inazima😅😅
Hii ilinikuta katika mechi 2 mfululizo kwenye dvn, bora mechi ya kwanza nilikuwa natafuta sare ila mechi ya pili dakika ya 70 naongoza halafu simu ikapigwa net ikakata 😂.Kuna ile situation match ime kolea afu mtu ana kupigia simu data inazima😅😅
😅unaweza toa tusi kwa sauti, hii tabia anayo wife akiona niko bussy ana piga piga ani haribieHii hapa,game naongoza na dakika kama unavoona halafu simu ikaitaView attachment 3321117
😅na saiv e football ukiyumba kidogo tu ni lostHii ilinikuta katika mechi 2 mfululizo kwenye dvn, bora mechi ya kwanza nilikuwa natafuta sare ila mechi ya pili dakika ya 70 naongoza halafu simu ikapigwa net ikakata 😂.
Hiyo siku niliweka do not disturb ila cha ajabu simu iliita ikakwama nikapokonywa mpira nikafungwa ngoma natafuta sare lakini wapi, mechi ya pili mtu akapiga tena network ikakata halafu ndo naongoza 😂.😅unaweza toa tusi kwa sauti, hii tabia anayo wife akiona niko bussy ana piga piga ani haribie
Balaa tupu 😂.😅na saiv e football ukiyumba kidogo tu ni lost
Hongera, usisahau kukaza vidole 😂.Nimeingia div 4
Ina kera sanaHiyo siku niliweka do not disturb ila cha ajabu simu iliita ikakwama nikapokonywa mpira nikafungwa ngoma natafuta sare lakini wapi, mechi ya pili mtu akapiga tena network ikakata halafu ndo naongoza 😂.
Wababe wanaongezekaHongera, usisahau kukaza vidole 😂.
Ni kukaza vidole tu.Wababe wanaongezeka
Kaka ni kazi hapo penyewe nipo exhausted alafu kuna card kama za Neymar wa Santos hazipatikan tena pamoja na Villa wa 104 nawakubali kinoma pia kuna Anchorman Pale ambae me nahaha kumpata 😃😃😃ndo maana nimeingia majaribuni😅mbona kikosi kipo sawa kabisa me na 3127 sio mbali