Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Striker instincts na yeye??Sasahivi namtafutia torres booster.
Striker instincts na yeye??Sasahivi namtafutia torres booster.
Asee twende tukaone Gasperin amekuja na nn hiyo keshoHapana Alonso amefutwa kazi kwa uzembe wa kutoa mabeki, hii ni Gesperin Day 😂.
Mnunue uwe unapiga LBC siku nyingineNgoja nimnunue Gasperin hawezi nikimbia huyu😃
Sawaa kaka ngoja nikusanye coinMnunue uwe unapiga LBC siku nyingine
Kesho tupashe nimetoka kucheki UEFA hapa hoi taabaniSawaa kaka ngoja nikusanye coin
Upo tukaguse??
Aah sawaa kaka usiku mwema mkuuKesho tupashe nimetoka kucheki UEFA hapa hoi taabani
Mkuu baki na kocha kijana huyu babu tuachie sisi 😂.Ngoja nimnunue Gasperin hawezi nikimbia huyu😃
Ndiyomaana nimesema mtumiaji mzuri wa Quick Counter, sisi tunatumia hiyo playstyle lakini bado hatujakuwa vizuri.Kaka Quick Counter kwake nimekufa tano ikanibid nibadili niweke na. Mimi possession ili tuwe sawaa uwanjan
Kaza vidole 😂.Pvp sichezi kabisa
Namchukua tuu akae pale na AlonsoMkuu baki na kocha kijana huyu babu tuachie sisi 😂.
Ngoja tukomaeNdiyomaana nimesema mtumiaji mzuri wa Quick Counter, sisi tunatumia hiyo playstyle lakini bado hatujakuwa vizuri.
Komaa kaka badge round hii unatoka na ya div one kabisaHuku bado ngoma ngumu, nimekula script safi kabisa leo 😂.
View attachment 3320233
Huyu jamaa kanichosha sana aisee, hana kikosi kikubwa ila kwa msaada wa pad yuko dvn 1 tena rank yake tu inatisha.
View attachment 3320234View attachment 3320235
View attachment 3320236
Ila mwisho wa siku vidole vimeamua matokeo goli dakika ya 80'
View attachment 3320237
Naipambania mkuu ila kugumu.Komaa kaka badge round hii unatoka na ya div one kabisa
Binafsi sina uzoefu, ngoja wengine waje.Wakuu kikosi hiki kinauzwa 26K...
Vip mwenye uzoefu n vikosi vya kununua...
Muda wa kutengeza kikos mimi sina.. ila hichi nimekipenda
Cc NEGAN Razorblade Edo kissy Mr Devil et al
View attachment 3320787
Haijaisha mpka iishe ndo maana me nasema hata nifungwe saba siquit gameNahisi hii ndiyo mechi yangu bora kwenye efootball league(division), kipindi cha kwanza nilikuwa nimepigwa chuma 2-0.
Kipindi cha pili kinaanza nikarudisha ikawa 2-1, jamaa akaja tena akaweka chuma ya 3, ubao ukawa 3-1.
Nilitamani niquit ila nikakomaa 😂, mvumilivu hula mbivu aisee nimefanya comeback ya kibabe ndani ya dakika chache tu mpaka kufika dakika ya 80 matokeo yakawa upande wangu na mpira umeisha 3-4.
View attachment 3320822
View attachment 3320823
Kwa leo kwenye dvn inatosha, kwa kiasi maendeleo ni mazuri.
View attachment 3320825
Sawaa kakaBinafsi sina uzoefu, ngoja wengine waje.
Hicho kikosi kizuri kama anaamika chukua chap.Wakuu kikosi hiki kinauzwa 26K...
Vip mwenye uzoefu n vikosi vya kununua...
Muda wa kutengeza kikos mimi sina.. ila hichi nimekipenda
Cc NEGAN Razorblade Edo kissy Mr Devil et al
View attachment 3320787