eFootball Special Thread

Huku bado ngoma ngumu, nimekula script safi kabisa leo 😂.


Huyu jamaa kanichosha sana aisee, hana kikosi kikubwa ila kwa msaada wa pad yuko dvn 1 tena rank yake tu inatisha.



Ila mwisho wa siku vidole vimeamua matokeo goli dakika ya 80'
 
Nahisi hii ndiyo mechi yangu bora kwenye efootball league(division), kipindi cha kwanza nilikuwa nimepigwa chuma 2-0.

Kipindi cha pili kinaanza nikarudisha ikawa 2-1, jamaa akaja tena akaweka chuma ya 3, ubao ukawa 3-1.

Nilitamani niquit ila nikakomaa 😂, mvumilivu hula mbivu aisee nimefanya comeback ya kibabe ndani ya dakika chache tu mpaka kufika dakika ya 80 matokeo yakawa upande wangu na mpira umeisha 3-4.



Kwa leo kwenye dvn inatosha, kwa kiasi maendeleo ni mazuri.
 
Haijaisha mpka iishe ndo maana me nasema hata nifungwe saba siquit game

Game tatu au nne hapo ukishinds unafika division 2
 
Wakuu kikosi hiki kinauzwa 26K...


Vip mwenye uzoefu n vikosi vya kununua...

Muda wa kutengeza kikos mimi sina.. ila hichi nimekipenda

Cc NEGAN Razorblade Edo kissy Mr Devil et al
View attachment 3320787
Hicho kikosi kizuri kama anaamika chukua chap.

Sababu kimekamilika kila idara kina rare cards kama Suarez, Ben white,Costacurta , Cafu na Santos Neymar.Tchouameni.

Hata utengeze kikosi itakuchua zaidi ya miaka 2 kutengeneza kikosi kama iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…