Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Wanipe basi na Tony AdamsKante ni mashine nyingine mkuu.
Wanipe basi na Tony AdamsKante ni mashine nyingine mkuu.
Ludi saa nne mkuu nitakuwepoNani yupo online
Utampata tu.Wanipe basi na Tony Adams
Sawaa kakaUtampata tu.
SafLudi saa nne mkuu nitakuwepo
Dah hongera mkuu.Who got this
View attachment 3318906
Njoo online tukipige mkuuDah hongera mkuu.
Nipo pre seoson mkuu, tupia username yako tukutumie friend request.Njoo online tukipige mkuu
Weka username wadau waku addNani yupo online
Watu mna bahati sanaWho got this
View attachment 3318906
Owaa sio pow🤣🤣🤣SCRIPT ya kwenye AI divisions SHKAMOO 🤣🙃🤣
Sawa sawa nime mchukua babu gasperin , saiv kila mtu ana piga counter naona wa possession wame baki wachacheAlonso yuko vizuri sana kwenye attacking ila beki zinatoka sana mkuu.
Mkuu unipe ratiba yako ya siku nzima huwa unafanya nini😃niige🤣🤣🤣Who got this
View attachment 3318906
Possession game ukiimaster ni nzuri mnoSawa sawa nime mchukua babu gasperin , saiv kila mtu ana piga counter naona wa possession wame baki wachache
Na wengi niliokutana nao wanamtumia Alonso.Sawa sawa nime mchukua babu gasperin , saiv kila mtu ana piga counter naona wa possession wame baki wachache
Mzee wa kaziDefensive fullback natamani kumpata hata 1 tu, hili game linaenda na wakati yaani kwa zama hizi za modern football wanahitajika sana attacking fullbacks.