Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
Sijawahi itumia
Possession game ukiimaster ni nzuri mno
Possession game ukiimaster ni nzuri mno
Hiyo playstyle ni ngumu na wengi ukikutana nao inasoma possession lakini wanatumia ndege.Possession game ukiimaster ni nzuri mno
Nilikutana na huyo mwamba habutui anacheza possession game sio pow wachezaji wake sijui wote walikuwa na skills z turnSijawahi itumia
Nadhan wengi wanatumua padHiyo playstyle ni ngumu na wengi ukikutana nao inasoma possession lakini wanatumia ndege.
Mtu anaetumia pad ukikutana nae ni rahisi kumjua.Nadhan wengi wanatumua pad
Sawaa kaka nitakuwepo😃😃😃... Tuombe uzima tuuNEGAN naomba mechi siku ya alhamisi na nitatumia LBC, bado inanipa wakati mgumu kwahiyo nataka mechi ili uje nielekeza makosa na namna ya kutumia vizuri LBC (MECHI 2).
Selikavu nawe pia naomba mechi siku hiyohiyo, nataka nipime kama nimeongeza kitu kwenye QC au sijaongeza (MECHI 2).
Mechi na NEGAN nitaingia uwanjani kama mwanafunzi kwenye LBC, mechi na Selikavu nitaingia uwanjani kwaajili ya G. P. G DAY.
Selikavu jiandae kwa G. P. G DAY 😂.
Kaka kuna mmoja nimekutana nae anacheza possession game ni balaaa na hatumii hata padi...Mtu anaetumia pad ukikutana nae ni rahisi kumjua.
Me nilishakusahau huku😃😃😃ukija na badge ya Div one me nitaichukua huku kwenye Ai🤣🤣🤣🤣View attachment 3319472
Napambana.
Umetisha atatuua sasa huyu jamaaView attachment 3319749
Pre season inafaida aise 😂, hakuna kuhangaika tena kupata selection booster.
Ni mwendo wa kununua wachezaji kwenye Nominating Contract na kuwarelease.
Tayari nishamalizana na Drogba ✅
Mnapiga Alonso derby na Selikavu 😃NEGAN naomba mechi siku ya alhamisi na nitatumia LBC, bado inanipa wakati mgumu kwahiyo nataka mechi ili uje nielekeza makosa na namna ya kutumia vizuri LBC (MECHI 2).
Selikavu nawe pia naomba mechi siku hiyohiyo, nataka nipime kama nimeongeza kitu kwenye QC au sijaongeza (MECHI 2).
Mechi na NEGAN nitaingia uwanjani kama mwanafunzi kwenye LBC, mechi na Selikavu nitaingia uwanjani kwaajili ya G. P. G DAY.
Selikavu jiandae kwa G. P. G DAY 😂.
Wapo mkuu na ukijichanganya umeisha ila kumfunga mtu anaetumia possession ni rahisi ikiwa utakuwa mtumiaji mzuri wa QC.Kaka kuna mmoja nimekutana nae anacheza possession game ni balaaa na hatumii hata padi...
Nimefungwa game zote sana za friendly leo...
Huko sijagusa bado.Me nilishakusahau huku😃😃😃ukija na badge ya Div one me nitaichukua huku kwenye Ai🤣🤣🤣🤣
Hapana Alonso amefutwa kazi kwa uzembe wa kutoa mabeki, hii ni Gesperin Day 😂.Mnapiga Alonso derby na Selikavu 😃
Sasahivi namtafutia torres booster.Umetisha atatuua sasa huyu jamaa
Kaka Quick Counter kwake nimekufa tano ikanibid nibadili niweke na. Mimi possession ili tuwe sawaa uwanjanWapo mkuu na ukijichanganya umeisha ila kumfunga mtu anaetumia possession ni rahisi ikiwa utakuwa mtumiaji mzuri wa QC.
Pvp sichezi kabisaHuko sijagusa bado.