Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,622
- 7,097
Kumekucha vyema wakuu
Huyu jamaa anatuchora ngoja tulete league 😃Kumbe nawe umeona 😂😂
Mimi hamna kitu mkuuHuyu jamaa anatuchora ngoja tulete league 😃
Mvizie akiwa division utaona mizimu
Kwema asee mkuuKumekucha vyema wakuu
Uzuri me nakujua huniingizi kwenye mfumo wako wa kujifanga NoobMimi hamna kitu mkuu
Najua kiwango changu pira papatu😁😁Uzuri me nakujua huniingizi kwenye mfumo wako wa kujifanga Noob
Kuna match ambayo Mimi possession nimevuka 40??Najua kiwango changu pira papatu😁😁
Haha 🤣🤣 possession so chochote mkuuKuna match ambayo Mimi possession nimevuka 40??
Sasa inaonesha huna papatu papatuHaha 🤣🤣 possession so chochote mkuu
Nafungwa ila naamua tu kutulia😁😁Sasa inaonesha huna papatu papatu
Upo twendeNafungwa ila naamua tu kutulia😁😁
Ndo nimefika mkuuUpo twende
TunapishanaSelikavu upo live
Naona mkuuTunapishana
Safi mkuu kwema???Habarini ya asubuhi wakuu"
Siku na iwe njemaa kwenu"
Na usiikumwema woteeSafi mkuu kwema???
Uwe na siku njema pia
😆 😂 😆 😂 😆Huyu jamaa anatuchora ngoja tulete league 😃