eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ai na wewe ni vitu vitano tofauti...

Alafu huwa unatumia Smart Assist eeh kwenye game za live??
Anatumia smart assist 😃 ana zile lob pass zake usipokua makini nyavu zinacheza
 
Anchorman utasubiri sana nilikaa miezi 3 sina Anchorman ikabidi nimnunue Rodri wa bure. Nina Anchorman 2 tu hadi sasa. Anchorman na defensive Fullbacks sio wengi
Daah hapo sawaa...

Alafu mbona kante ni Box to Box lakin anacheza Dm vzr sana

Au kwa sababu ana Defensive awareness kubwa???

Maana mtu akishakuwa na Kante au Tchoumen nasahau swala la kupita
 
Tangu nimchukue Gesperin nilikuwa nahangaika kutafuta mfumo ambao utakuwa na ufanisi zaidi katika playstyle zote(QC & LBC), bahati mbaya mfumo wenye huo ufanisi ulikuwepo kwenye update ya 2023 na sasahivi haupo.

4-1-3-2 ndo mfumo wenye ufanisi zaidi kwa QC na LBC, unakupa idadi kubwa kwenye kushambulia na kuzuia pia.
View attachment 3318724

Imenibidi kuutengeneza mwenyewe na nimeujaribu mara kadhaa kupitia AI Controlled na kweli huu mfumo uko vizuri sana kwa hizo playstyle.
View attachment 3318727
View attachment 3318729

Hii ndiyo raha ya pre seoson 😂.
Huu mfumo uki umaster utafunga magoli mengi sana
 
Anchorman utasubiri sana nilikaa miezi 3 sina Anchorman ikabidi nimnunue Rodri wa bure. Nina Anchorman 2 tu hadi sasa. Anchorman na defensive Fullbacks sio wengi
Defensive fullback natamani kumpata hata 1 tu, hili game linaenda na wakati yaani kwa zama hizi za modern football wanahitajika sana attacking fullbacks.
 
Mkuu zile through mchezaji akiwa kwenye nafasi nzuri ndo zinakubali.
Ni nzuri sema me bado sijamaster vizuri kuchezesha direction za mchezaji pasi iende wapi...

Sijui ni Side effects maaana hata wakati nacheza Ps nilikuwa siitumii kirungu natumia direction

Kwahiyo siwez tumia smart assist itanifanya nilemae
 
Namsubiri kwa hamu huyu nimuweke mbavuni.
IMG-20250428-WA0030.jpg
 
Daah hapo sawaa...

Alafu mbona kante ni Box to Box lakin anacheza Dm vzr sana

Au kwa sababu ana Defensive awareness kubwa???

Maana mtu akishakuwa na Kante au Tchoumen nasahau swala la kupita
Kante ni mashine nyingine mkuu.
 
Back
Top Bottom