Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,848
- 4,815
Na vile ulichukua ureno 😂😂Umepewa posho uje utushawishi
Na vile ulichukua ureno 😂😂Umepewa posho uje utushawishi
Kwamb saiz hizo level na sisi haupo kabsa?😀🙌Mkuu nkirudi sichezi bure 😂😂 andaeni stake .
Ni njia ya kuwatoza ada maana mnakwepa kulipia mafunzo 😂😂Kwamb saiz hizo level na sisi haupo kabsa?😀🙌
Hiyo pack ya ufaransa nimeona Ina uzuri huuKwann mkuu
Nmejibu apo hoja zangu hahahahaUmepewa posho uje utushawishi
Hahahaha pole yake....pack ya ufaransa ipo vyema sana alafu Ronaldo tumempata pale kwenye world championship daily eventNa vile ulichukua ureno 😂😂
We unacard zako unapenda kutumiaHahahaha pole yake....pack ya ufaransa ipo vyema sana alafu Ronaldo tumempata pale kwenye world championship daily event
Hahahaha marobot wazito wazito sio ? HWe unacard zako unapenda kutumia
We balaa ni vile huwa unakutana na uchawi wa kusiniHahahaha marobot wazito wazito sio ? H