Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,850
- 12,189
Umeshindikana lbc
Nimemuotea tu huyo noob.Umeshindikana lbc
Hongera mkuu" itabidii uje unifundishe gameNimemuotea tu huyo noob.
Mimi noob kaka hakuna kitu utajifunza kwangu.Hongera mkuu" itabidii uje unifundishe game
Umenibahatisha sijatulia.. nitkustua
😅😅Kesho kaka ndo nachomoka kwenye network hapaUmenibahatisha sijatulia.. nitkustua
Aagh 🔥🔥Asante KONAMIView attachment 3618243
Matokeo yapo wap?!Amna kaka, wewe ndo umekuja na uo mchezo wa kutulia ukipata hakimbii kimbii wala pasi za hovyo 😅 ndo mana na mi nikakuiga
Darasa mnaanza lini😃😃Una balaa nifundishe kukaba na mimi pass zote unazuia hadi nikawa naogopa kupiga pass 😀
Nenda kamchungulie pale kwenye stats anakabia nini hasaSio poa mwamba anakaba hadi kivuli😀
Wachawi mkiongea🤣Tulia mwanga wewe 🥲
Mkaanzishe uzi wenu😃😃Wanga tunajuana
Haya madude kama unajua unajua tuu😃 ujipe hivyo hivy likizo ili Kiwang kipungue tukutesee
Warld kastafu kawa kama Zlatani wa world cup,😃