Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 1,034
- 2,876
SawaaJioni saa 10
SawaaJioni saa 10
Invite naingia apaCode
Ppoa mzee utani tag hap kaka.Lestone kama una mda tupige pia
Haha game ya pili nikabadilisha formation ndo imeniponza 😅 ningeeka ile ile tuMwamba unakaba sio poa😃
Ilipofika dkk ya 70 nikasema ngoja nibutue mbali nipate on target hata 1 niondoe aibu kumbe nikabahatisha konaHaha game ya pili nikabadilisha formation ndo imeniponza 😅 ningeeka ile ile tu
Una balaa nifundishe kukaba na mimi pass zote unazuia hadi nikawa naogopa kupiga pass 😀Amna kaka, wewe ndo umekuja na uo mchezo wa kutulia ukipata hakimbii kimbii wala pasi za hovyo 😅 ndo mana na mi nikakuiga
Lile shuti nilijua tu unatafuta kona na ndo ikanidhuru 😂🔥Ilipofika dkk ya 70 nikasema ngoja nibutue mbali nipate on target hata 1 niondoe aibu kumbe nikabahatisha kona
Viungo na mabeki wanajituma kaka 😄Una balaa nifundishe kukaba na mimi pass zote unazuia hadi nikawa naogopa kupiga pass 😀
Mchawi huyoSio poa mwamba anakaba hadi kivuli😀
Tulia mwanga wewe 🥲Mchawi huyo
Wanga tunajuanaTulia mwanga wewe 🥲
Twend tuguseSio poa mwamba anakaba hadi kivuli😀