eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Safari ya kusave coin inaendelea
20260619_001032.jpg
 
Screenshot_20260619-013027_eFootball.jpg

Siku zote napokutana na hiyo kijani kwenye profile ya opponent huwa najiuliza hii verified amepataje. Kumbe ni alama ya SA 🙌

Screenshot_20260619-010816_eFootball.jpg

Baada ya hizo losses nikasema niende kuwasha SA ndo kukutana na hiyo alama ya kijani ikabidi niwashe ndo kupata hiyo win, Warld nipokee niwe mwanafunzi wako kwenye SA 😂🙌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom